Thread maalumu ya kusisitiza uwepo wa JF daima

Thread maalumu ya kusisitiza uwepo wa JF daima

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,457
Reaction score
12,744
(JF for life) Wakuu JF ni kama nyumbani kwetu, tena ni zaidi ya kijiwe bora kwa wakati wote, kukaa kimya bila kuingia humu ni sawa na kukaa bila kula kwa siku 90 za adhabu kwetu, tusikae kinyonge hebu sasa tuamke kusapoti na kulitia moyo jukwaa letu pendwa, sasa wapenzi wote wa jukwaani tutiririke kwa kauli moja, kwa pamoja JF for life tuoneshe uzalendo kwa siku hizi 90.99 kwa jukwaa letu kupewa likizo, nasema tupo pamoja hadi kieleweke.
 
Back
Top Bottom