nilikuwa na wazo, kwa nini au kuna ubaya gani kama Tundu Lisu na wenzake wakijiunga na ccm? je, hamuoni kwamba labda wanaweza kuleta mapinduzi chanya zaidi na kufikia malengo yao wakiwa ndani ya system klk nje yake? kwa jinsi mfumo tanzagiza ulivyo ni ngumu kuamini kwamba unaweza kulazimisha mabadilko ukiwa nje kwa maana unakuwa adui.
tujifunze ktk kwa Martini Luther mwanzilishi wa Uprotestanti, alitaka mabariko ndani ya Kanisa Katoliki lkn alitambua kwamba akijitoa hawezi kupambana na Kanisa Katoliki hivyo akaamua kupambana akiwa ndani ya Kanisa Katoliki na akaeleweka na wengi na ndipo mabadiriko yakawezekana na Uprotestanti kuzaliwa …