Thought Experiment kuhusu Wanachadema!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,817
Kumekuwa na malalamiko meengi sana hasa ktk kwa wana chadema khs nchi yetu na jinsi tunavyoiendesha!
Wanachadema wengi wanailaumu CCM kwa hali ya umaskini iliyopo na wana msemo wao maarufu kwamba tatizo ni mfumo na siyo watu waliopo!

Sasa mimi nina thought experiment kwamba je tukiwachukuwa wana chadema wote pmj na viongozi wao tukawahamishia kabisa tuseme kisiwa cha Mafia na kuwakabidhi hicho kisiwa kama nchi, je baada ya miaka kadhaa watakuwa matajiri?
 
Back
Top Bottom