Though ur a married man, i will always love u

think TWICE. Hivi kama angekuoa, halafu baadaye ukagundua ana kiburudisho kingine tena ungefanyaje? You can choose to restart your love life with somebody else. I mean YOU CAN CHOOSE, if you wish. And do it while you still have time.
Good idea.I apreciate
 
mume wa mtu sumu,!atakudanganya wewe ndio wewe na kumponda mkewe lakini mwisho wa siku atarudi kwa mkewe.hebu fikiri angekuwa hampendi angemuoa? Wanaume wengi tamaa tu,na kina dada nao akishajua mume wa mtu anajifanya hodari anawezathubutu hata kumpa kinyume na maumbile bora aonekane anafaa mwisho wa siku anabaki kulia mwenzie kwa mkeweeeee, ushauri ondoa mawazo nae kabisa hata sijui bado unampenda unajiumiza bure mume wa mtu hapendeki pole dada ndio wanaume haoo
 
mbali naye na Mwenyezi Mungu atakuletea yule aliyemwandaa kwa ajili yako...............huyo ana wenyewe.....
 
Heeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! Jamani dunia hii imetikiswa na MAPENZI............mi cna ushauri dada angu ila jua mme wa mtu sumu na usije ukavunja ndoa ya watu....

Yep utalaaniwa milele kwani ni agizo kutoka kwa Mungu..........Ndoa na iheshimiwe na watu wote!
 
Sijaona kosa la huyo Mshikaj,kosa ni kuja ofisin kwenu,kuchukua No zako za simu na kukutoa out???????????then what happened??//
Hii tu ndo imekufanya uwe na wivu ivo,????
PS: I was not aware kama u were in love with me, will think about it.....
 

Shemeji.......umejimix katika maelezo yako........ushauri wangu endelea na jamaa na pigania penzi lako.........marriage is nothing but selfishness
 
pole dada angu God will give u a perfect man 4 u!just hang on
 

Nimesoma hii post ila najiskia vibaya...

mapenzi yanatesa, wasio wapenzi wanaamulia watu mapenzi, wenye mapenzi wanakubali kuamuliwa mapenzi na wasio wapenzi, wakishapoteza nafasi wanarudi na majuto, je haya majuto ni unafiki???

roho imeniuma sana, kwani kinachoendelea ni kubomoa maadili yote in the name of love, ni bora kuwa kama mimi tu, kusema kwamba tunafanya haya lakini nimeoa/kuolewa, napenda ukweli, sipendi unazi

roho imeniuma sana, kuona kati ya wahusika wawili, mmoja anachezewa shere!!! najua
 
eti eh.. Sijui nani atakuwa adui..?
Btw wanaume wote waliojaa mtu ukaparamie mme wa mtu jamani, si kujitafutia mabalaa huko!
Amina, hebu come this way nikunong'oneze kitu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…