wadau,
wakati nipo nasoma graduate, mapedeshee walitinga sana pale ifm kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, benzi, cruisers, n.k. Zikiwa zimepaki nje.
Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??
After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.
Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!
My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
Mi niko nawe mkuu Shakir
Imagine mnapanga disscusion na dem mida ya usiku halaf hatokei.
Mida unatoka kula labda unapishana nae getini "anatoka", inazingua sana for sure!!
,,,,,,, na fikra za kipuuzi zilizojaa imani za kifedhuliwewe ni mjinga mwenye mawazo ya kipumbavu!!!
Jamani watanzania lazima tuwe waelewa. Shakir ameathirika kisaikolojia. Kumbeza na kumkebehi haitamsaidia. Huyu anahitaji mshauri nasaha aliyebobea. Alikuwa anaamini umahiri wake wa darasani ungefanya warembo wajigonge kwake. Lakini haikuwa hivyo, roho ikamuuma. Na hivi sasa anaamini pesa zake na gari vitafanya warembo wajigonge kwake. Kuna kila dalili kwamba pamoja na pesa zako na accesories zote.hizo, bado warembo hawatokubabaikia. Shakir nakuuliza, mrembo unayemfuatilia pamoja na gari yako na pesa zako, anakutosa na kwenda kujigonga kwa sharobaro anayeimba Bongo fleva. Utachukua hatua gani? Naomba mshauri nasaha aje kumsaidia huyu jamaa ye2.
Wadau,
Wakati nipo nasoma Graduate, mapedeshee walitinga sana pale IFM kubeba vimwana!!
Mademu tunagonga nao discussion mchana na Jioni, usiku tunashuhudia getini wakiwa wametinga vinguo vyao vya mitego wanatoka, Benzi, Cruisers, n.k. zikiwa zimepaki nje.
Ilikua ikiniuma sana kwa kweli, mpaka nikawa nawachukia mademu class, hasa wale waliokua wakivuka geti enzi hizo.
Yaani wanatuacha sisi makapuku tunao-survive wote kusolve papers na test, wankwenda kuwapa mapedeshee wa mtaani, kisa wanawa-finance!!??
After seven years, nami ni mojawapo ya hao mapedeshee, nina hela za kunitosha pamoja na kuhonga na life ikaenda tu!! Labda tofauti yangu na hao mapedeshee waliokua wakituchukulia ni kua wao walikua wazee kidogo, waheshmiwa Fulani hivi maofisini wakati mimi bado kijana.
Kwakua ile image ya kuchukuliwa bado ipo, na uwezo wa kulipiza sasa upo, akili inanituma nianze kuzungukia vyuoni kusaka mabinti. Tena navyoona posts za selection zinavyojaa, najiambia sooner time will arrive for revenge!!
My time is now, nilivumilia sana kipindi kile kapuku nategemea boom. Nieleweke kua mi sio kicheche, wala sitegemei kupita kila chuo na kila Siku, wala sintolazimisha mtu, bali ile hali ya kuji-feel guilty nisipolipa kisasi!!!
Richard Branson (Virgin Group) ana makampuni zaidi ya 400 na bado anaendeleza fikra za kupanua biashara zake, sijawahi kuona akiandika upumbavu kama huu katika status zake; kweli wai-TZ tunaridhika mapema sana, yaani hiyo kazi ya kutumwa na huo ufisadi unaofanya ndio unakusukuma kuwa na fikira hizi. Tunahitaji ukombozi wa fikira kwanza.....!!