Namouna Thomas Ulimwengu akitoa ushuhuda leo jumapili usiku Emmanuel TV Sunday service live kuwa alikuwa majeruhi baada ya kuumia ktk mechi na ilitakiwa afanyiwe operesheni lakini Dada yake alimshauri aende kwa T B Joshua na alivyoguswa na Nabii wa ukweli alijisikia kama Kuna nguvu ya umeme inapita ktk jeraha lake wakati roho ya uponyaji ilipokuwa inafanya kazi ktk mguu wake na baadae aliweza kupona kabisa wa kuweza kuruka ruka bila maamivu yoyote Mungu ni Mwema kwa kumtumia Nabii kufanya nguvu ya uponyaji wa haraka sana