This time tomorrow where will they?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Nikikumbuka miaka hiyo form three and four tulisomaga tamthilia ya this time tomorrow iliyoandikwa na mtunzi toka 254 bwana Ngugi wa Thiong'o mwalimu wa ngugi wa mirii

Kiufupi
Mwandishi anaelezea kisa cha familia iliyokuwa imepangwa kubomolewa makazi yake siku ya kesho wakijiuliza watakuwa wapi kesho yakee?

POINT
Kutokana siasa za Tanzania zenye madai ya uonevu na unyanyasaji bila kusahau ufisadi uliofanywa nchi hii kwa miaka 60 na zaidi hii mitano.Hivi lissu akishinda uraisi watakuwa wapi hawa wafuatao kwanzia 1/11/2020 baada ya kuapishwaa?
Kundi la kwanza
DPP ,Biswalo maganga
Rc mstafuu makonda
Spika ndugai
Kamishna wa polisi Fonatus Msilimu
Jumanne muliro,mambo sasa na Siro wa Polisi?
Kangi lugola
Polepole na Bashiru
Na Albert chalamila

Kundi la pili
Mbowe
Zitto
Mnyika
Mdee
Sugu
Mchg msigwaa
Jesca kishoa??

Kwambali naona watu wanaenda kubadilishana nafasi
Unadhani nani ataanza kufunguliwa kesi kisutu???
Kwangu naona lissu akiingia anaanza na Mwenyekiti wa tibisii
 
😂😂😂 Kuna watu watataka kukimbia nchi! Ila uzuri Lissu kasema Mutakyawa na kipindi cha maridhiano na amesema hatolipa kisasi
 
Ili lissu awe Rais ni mambo haya yatokee

Aidha mpiga kura awe Robert wa ubeligiji tu!
Au lissu awe Rais wa Robert
Umeusoma uso wa John leo? Siha yake iko doroo. Atakata moto kwa presha ya uchaguzi kabla ya Oktoba 28.
 
Where will they be?

Miaka 40 toka sasa watakuwa wanauliza,sasa babu kwa nini mlikuwa mnakubali eti mgombea kapita bila kupingwa ?
 
Back
Top Bottom