Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Wakuu, niliwaahidi bonge moja la thread, na pasi na maneno nimelileta kwenu
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/259357-lets-talk-about-kinyesi-2.html#post3815694
Sasa tatizo ni kuwa mods wameihamishia JF Doctor wakati mim nimeiweka Chit-Chat, kwa ajili yenu. The problem ni kuwa inanilazimu kila anayeuliza swali katika huu uzi ajibiwe kitaalamu and meen? I ain't no doctor, mi ni mtaalamu wa Kiswahili bwana! Hata uzi wenyewe nimeandika kutokana na uzoefu wangu katika mambo ya haja kubwa.
Shime wanajamvi, naomba tushinikize moderator waurudishe uzi wetu!