This night i'm going to kill myself

Dah! Maskini, yaani Member mwenzetu ndo umeshatuacha?!

Sio mbaya, umetangulia, nasi tutafuata lakini binafsi sitafuata kifa'la fa.la namna hiyo.

Wandugu, anayefahamu matanga ya msiba wa huyu jamaa anijuze niende. Aidha, kwa anayemfahamu marehemu vizuri, naomba anijuze kama alikuwa Mwislamu basi niende na ndizi zangu kabisa, na kama alikuwa Mkristo, basi niende na nyama choma yangu manake najua bia nitazikuta huko huko.
 
Naomba niweke kabisa kwenye list ya uweka hazina kwenye mazishi yako..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…