This magnificent building is coming soon in Westlands Nairobi

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,356
7,992
Z depth: We just completed new renders for an upcoming office building in Westlands Nairobi. For this project we felt the need to have context in order to bring out the new building. We strive to have the best quality by really focusing on the details. Hope you like the new visuals.
17390411_1280493168708139_6454809553738252163_o.jpg
17361837_1280494188708037_4169345548748931338_n.jpg
17353386_1280494125374710_3231259470595657282_n.jpg
17352311_1280494138708042_7307191048684181249_n.jpg

just close to oracle
Westlands.jpg
 
Unajua kabisa Westlands sio ligi yako ndio maana huendi huko. Wewe komaa na Kibera,Mathare, Korogocho, Majengo, Matopeni na kajamba nani kwingine.
kutoenda westie doesnt mean anatoka kibera ama mathare..there are so many places in kenya na kila place kuna starehe zake...why go to a place where you dont have business going there...kenya is nt like TZ..mnaota dar kila kucha
 
Duh wakenya mpo sensitive balaa, mbona ni humor tu mazee. Huku bongo ukabila uliishaga kwa masikhara kama hayo, makabila hasimu yaligeuka yakawa watani, watu wanataniana hadi kwenye funerals.
 
Unajua kabisa Westlands sio ligi yako ndio maana huendi huko. Wewe komaa na Kibera,Mathare, Korogocho, Majengo, Matopeni na kajamba nani kwingine.

Khaa tatizo nyie watoto wa mabondeni mnafikiria kila mtu size yenu, hivi unajua kuna watu kwenye baadhi ya mitaani hupitia Westlands kila siku, anyway kwa taarifa yako makazi yangu hata ambayo ninayo huko Dar ninaishi maeneo yenye hadhi zaidi ya kitaa chako. Kwa kifupi nakupa ligi hata ndani ya Tanzania kwenu.

Halafu Nairobi imekua kwa kasi kwamba ni vigumu kufuatailia kila maeneo.
 
Sawa jamaa wa kutokea Huruma, Nairobi. Bado unaishi Huruma ama ulihama? Acha ujeuri bwana mdogo. Angalia video hiyo uone mtaani kwako.

kutoenda westie doesnt mean anatoka kibera ama mathare..there are so many places in kenya na kila place kuna starehe zake...why go to a place where you dont have business going there...kenya is nt like TZ..mnaota dar kila kucha

Imewachoma kama pasi.
 
Back
Top Bottom