This lady, I need your advise

Love is all about commitment and agreement, on top to that at the beginning why didn't you consider and take into considerations a lady's answer!!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly
 
Dah nashindwa kucomment Lugha hizi okay nitakushauri kishwahili tu sababu hio Lugha sio ya taifa weka uzalendo.
Kifupi tu anataka kukuchezea huyo mpotezee tu halafu kama una mipango nae hivyo jiangalie sana mimi nimewahi kuiba msichana wa mtu sababu boy wake hakuwa anamcare kwa lolote ilinichukua 2 month kumdaka yule dada, akaachana na yule jamaa lakini baada ya miezi kama 8 mshkaji alirudi kuomba msamaha na akamsamehe asee niliumiaga sana. So kama ana mtu wake na wewe una mipango nae muache tu baadae utaumia nakwambia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nimesahau mwenza[emoji85][emoji85]
Kwenye haya mambo yetu, cheo ulichofikia ni Brigedia General. Yani hadi unasahau makoloni uliyomiliki? I salute!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

- KANA -
 
Try to pursue her in Swahili it seems your complicating things make it simple.

Mwambie siwezi ishi bila wewe malkia wa moyo wangu, umekua waridi katika maisha yangu.
Bila wewe uwepo wangu katika hii dunia sio chochote. Hakika atakuelewa pengine lugha ndio kikwazooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa ajitambui,na atakutesa sana katika maisha yako kama utalazimisha uhusiano;nakushauri achana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…