This is your MESSAGE, this year.

true that...akikufanya wa akiba unamfanya wa dharura...
 

Hii kabla kitu nilianza kuifuata kama three years back my life ilichange sana nikawa free na moyo wangu na maendeleo nikayaona....

Unakuta mtu hakusemeshi mwaka au miaka then akisema basi anashida zake haswa pesa na ukimpa ndio mshakuwa maadui ukimdai... so ili nisigombane na watu nimekuwa nauchuna kwa watu kama hao wanaokutafuta kwenye shida zao tu.
 

Hakika kila mwenye kuliewa hilo anakua stress free.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…