This is what we call true happy.

Kweli kabisa.

Ila huyo aliyesimama amenifanya nihisi hiyo pumzi anayoivuta hapo kutokana na hayo maji.
 
Kila jambo na wakati wake...akikua atayaona kuwa maisha sio magorofa.
 
Kila mtu anaifahidi uumbaji wa nchi kwa hali yake
 
umenikumbusha mbali kweli
shule ya msingi kigurunyembe enzi hizo ilikuwa poa sana wenyewe tulikuwa tunaita kudiba(kuogelea)
 
Kwa wakaz Wa mbagala kuna mto unaitwa mznga hakuna mzaz apendae mtoto aende huko enz hiz ilikua kawaida sana kila mwaka watoto kufakwa maji ile huwez amin hakuna pia mzaz alokua anajua mwanawe anaenda huko na tulikua tunaenda na kukoga maji kipind MTO umefurika natukirud ni kimya kama hakijatokra kitu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…