This is what we call smart dating

[emoji23][emoji23][emoji23] tokea kidato cha 2 ameshaanza kuexprience haya mambo mpaka saiz ameshakuwa professor [emoji4]
Keshahitimu yaan hapo form two anamzunguka dem kwa rafiki yake saivi simpatii picha
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
 
Ni kweli alichosema Mtoa Mada, hata mm wakati nasoma kidato cha Pili kuna Dada nilikuwa nampenda sana sema akazingua, nikaona isiwe kesi nikamtafuna rafiki yake

Majina huumba, Paulo Makonda anajiita Baba Keagan.... wewe ni Keagan Paul sijui ndo mwanae..!!


Hii comment yako umekuwa ukiitafutia kila uzi unaouhisi kufanana unaipachika tu.
 
Tutasoma, tutaelewa ila hatuezi kutekeleza. Mwanamke apende na moyo na akili, hilo swala halipo huwa tunatumia moyo tu.
Mimi mwenyewe imenigusa ila kwenye utekelezaji mkuu Alvin A. naomba niweke kwenye maombi yako tu.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…