This is what she did to Nanny: Gaddafi's Wife

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,782
4,040
This family did a lot of pernicious and must be castigated for that. They have to pay, no way out for them.
 
Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,601
1,225
This family did a lot of pernicious and must be castigated for that. They have to pay, no way out for them.
The evil done by this family is holocaust
Na hivi ndivyo huyo Aline Skaf (mke wa Hannibal Gaddafi) alivyokuwa anapenda kuvinjari huku akimmwagia tindikali yaya wake!
slide_193367_406039_large.jpg
slide_193367_406045_large.jpg
alinekaddafi4.jpg
alinekaddafi5.jpg Na sasa laana imemkuta!
Picha kwa hisani ya bloga wa kituruki
 
Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,370
4,292
Wakuu
Wakati tunalaani unyama huu pia tusisahau kulaani drone strikes na unyama wa NATO unaowababua ngozi, unaowachoma na kuwaua walibya na watu wengine ulimwenguni kwa mabomu yao.
 
MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,782
4,040
Wakuu
Wakati tunalaani unyama huu pia tusisahau kulaani drone strikes na unyama wa NATO unaowababua ngozi, unaowachoma na kuwaua walibya na watu wengine ulimwenguni kwa mabomu yao.

I believe Nato is there to support "power to the people". Death of innocents civilians is part of war and is un-avoidable.
 
Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,709
3,215
I believe Nato is there to support "power to the people". Death of innocents civilians is part of war and is un-avoidable.

sawa, hv colonel aliua wangapi, na ni wangapi wamekufa, kupoteza makazi na amani tangu wazungu wavamie libya! unadhani ni sawa kuua mende na bunduki? by tha way, ile mikataba ya kuchimba mafuta libya ilishavunjwa toka kwa kampuni za brasil, china na urusi na wadau wapya ni kutoka ufaransa, marikani na italia. nadhani hii pia ni sehemu ya peoples power, au sio mwana?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom