Za sahizi humu ndani?
Naenda moja kwa moja kwenye point. Mimi niko tigo, nampigia mtu wa tigo halafu nakutana na hii kitu "Thank you for choosing Vodacom blah blah blah." Ni mara kadhaa sasa.
Sasa hapo Voda wamehusikaje? Ni kwamba Voda wamenimiss au mitandao siku hizi wamekuwa marafiki?? Hehehh
Seriously though, hii kitu inakuaje hii watu wa masuala hayo??
Asante.