"This Is Too Much...!"

Sio malezi kwa sababu malezi hayawezisababisha mtotoakawa mbumbumbu
Malezi yanahusika a.rahabu , kwani mtoto anaanza Na chemsha bongo kwa wazazi/walezi, shuleni Ni kwa ajili ya taaluma rasmi Na mitihani
 
Naona mwalimu alimwonea kumpa x. Jibu lake ni kiboko alitakowa apewe nafasi ya kulisimamia jibu lake.
 
Mtoto kama huyo akitokea mtu akakupa mitetea miwili na jogoo moja la mbegu,mnafanya exchange
 
Sio malezi kwa sababu malezi hayawezisababisha mtotoakawa mbumbumbu
Usijidanganye!!!Kwanza sielewi nilivyosema malezi umeichukuliaje.,Malezi ya wazazi yanachangia kwa asilimia kubwa makuzi na tabia ya mtoto ya baadae hadi utu uzima wake na wamemuandaa vipi mtoto kabla hata hajafikia hatua ya kupokelewa na mwalimu naye achangie yake katika malezi na makuzi ya nguvu kazi ya TAIFA.
NB.KUMBUKA TAIFA KAMA TAIFA NDILO LENYE JUKUMU KUU LA KUWEKA MWELEKEO SAHIHI WA JAMII(kwa ujumla)KWA URITHI KIZAZI HADI KIZAZI.
 
Baba unakua unavuta bangi chumbani, moshi unawakuta mpaka watoto vyumbani mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…