aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
Ni vizuriNafika mkuu.
Wakenya ndugu zangu wa karibu saana.
Ni vizuriNafika mkuu.
Wakenya ndugu zangu wa karibu saana.
Nadhani itakuwa ndo ngoma best tokea Kenya hata ipigwe wapi bado inabambaJua kali anangoma flan hv ya ngeli ya genge....yupo chalii mmoja aitwa major,ile ngoma ya landlordlooh hua nacheka kile kiswahili chake Ila ilikua bonge la idea,yote tisa kumi ngoma ya sinzia ya nameless naipenda hadi kesho
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Msimsahao mercy masika
Kwanza ulishasikiliza ngoma zao hawa? Daby ..ukisikiliza kwa makini unaweza kuhisi soul inafloat on air kwa harmony waliyonayo...hatari saana.Elani - nikupende
Elani - kookoo
Hawa madogo wanajua hata sauti Sol wakasome.
Mi najitahidi niipende miziki ya Kenya lakini wapi nashindwa nipe mbinu brotherKwanza ulishasikiliza ngoma zao hawa? Daby ..ukisikiliza kwa makini unaweza kuhisi soul inafloat on air kwa harmony waliyonayo...hatari saana.
Honestly sina taarifa muhimu kuwahusu but this is the one of the musician from Kenya whom I regard them as "instrument of music" from Kenya.
Never knew Octopizo is such hilarious!!
La, huyu naye mwingine! Ila wanamitindo ya kukaribianaOctopizo ndio kingkaka?
Mbona umetia Kijani kwenye kucha miguuni? Unapenda kijani??Octopizo ndio kingkaka?
Nyamaza nktOctopizo ndio kingkaka?
MfyuuuuuuuuuuuhNyamaza nkt
Sammuel999....hiyo avatar yako is an insult to the ueropa cup holders [HASHTAG]#thegreatmanchesterunited[/HASHTAG]Nyamaza nkt
Nawajua saana Elani.Kwanza ulishasikiliza ngoma zao hawa? Daby ..ukisikiliza kwa makini unaweza kuhisi soul inafloat on air kwa harmony waliyonayo...hatari saana.
Honestly sina taarifa muhimu kuwahusu but this is the one of the musician from Kenya whom I regard them as "instrument of music" from Kenya.