sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
yule mshkaji kaimba nae kwenye bongo la biashara nae namkubali sanaJua kali anangoma flan hv ya ngeli ya genge....yupo chalii mmoja aitwa major,ile ngoma ya landlordlooh hua nacheka kile kiswahili chake Ila ilikua bonge la idea,yote tisa kumi ngoma ya sinzia ya nameless naipenda hadi kesho
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
sichoki kusikiza "ngoma yako ya nonini
