Imefahamika asilimia kubwa ya wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wameugua kisukari. Hii ni kutokana na majina wanayoitana kama MY SWEET, MY HONEY,MY SUGAR,MY CHOCOLATE etc. Mkinge mwenzi wako na hatari hiyo kwa kumuita MY PIRITON,MY KIROBA,MY CHLOROQUIN,MY BEER. Imetolewa na idara ya magonjwa yasiyo ya kuambukizwa!