This is ITALY

Bwana Mungu wa mbingu na nchi ni mwingi wa kurehemu.
Rehemu eeh Mungu kizazi chetu ukituponya magonjwa yetu na kutusamehe maovu yetu. Amen!!

.
Zaburi 103
2 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote.

3 Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote,

4 Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema,

5 Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai;

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real problems can't be solved by imaginary solutions
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Awanusuru Na Maradhi Hayo
Hatimaye Italy Usimame Tena
 
Palikuwa na tetemeko Happ,ndo maana wakawatoa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…