MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,929
- 8,915
Kuna vijana wawili blacks huko nyuma waliwahi kusingiziwa wamembaka mtoto wa kizungu na wakafungwa jela muda mrefu sana.I don't know the reasons to why Trump is not loved by black people grobally. To me Trump deserves credits onto humanity especially the tendencies of mass kilings to countries seemed to go against the US and her allies,though the issue of Palestine and Yemen he failed and voted wrong by UN.
Trump wakati huo akanunua Column kwenye gazeti la The Washington post akawa akiandika makala ya kushnikiza wanyongwe.
You know wamarekani hawaishi kwa kumshobokea Mtu wala kunipendekeza uchawa kwa Takataka yoyote ndio maana mostly watu weusi wote Marekani hawamtaki Trump, wanamchikia mnooo.
Hata hao wachache maarufu unaowaona wanamuunga mkono ilimuwa ni Kwasababu za kikodi ( TX plan ya Trump inawabeba wenye hela ).
Ukiona Trump ana ukaribu na mtu mweusi unue kaona fursa ya pesa kama ilivyokuwa kwa Tyson na siyo vinginevyo.