This is From Me to You..........

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Dear WanajamiiForum
Ningependa nichukue nafasi hii kuwatakia Happy Easter 2011 na Happy Muungano Day......... Tuendelee kushauriana, kusaidiana na kupendana........Its all about Mapendo Mapenzi na Mahusiano.

I dedicate a song ..... This is From Me to You .....by Yvonne Chakachaka (Mama Africa).............

From me to you by Yvone Chaka Chaka + lyrics / Naijapals Nigerian music

Love You All,.......
 
Happy Easter...love you 2!

Lizzy mbona hujasema i love you too kwa MJ1??
 
Dearest naogopa kupenda nisije nikavunjwa moyo...

MJ1 si wa kukuvinja moyo,am kweli ukishang'atwa na nyoka.......

naomba usiogope kupenda....penda tena sana....ukivunjwa moyo mara nyingi kama dearest wako....utakuwa strong sana na utapenda tu hata pale usipotarajia kupokea upendo....l.o.l
 
Mh...........now this is more than what I thought it is............Lizzy???? mind to share?
Bora umuulize,manake maneno ya Lizzy yanaonyesha kabisa kuna hali anaipitia nje ya keyboard but hayuko straight? Lizzy kama ni yule alokupotezea nauli yako,nitakurudishia,msamehe,maisha yasonge bana.....l.o.l
 
Dada umeona eh? Mie mwenyewe nimeshangaa.....But I believe sijawahi kucross kwenye anga yake kinyumenyume..unless aseme ni my personals ambazo inamdisturb of which I dont believe kuwa inamconcern that deep.......anyway I really LOVE her and her wisdom is among the ingredients zinazonifanya niendelee kuvisit JF every now and then................... Lizzy I love you gal
 
Thanx ubarikiwe imebaki robo saa tu Bwana Yesu kufufuka nasubiria niwe macho kabisa sitaki kupitwa Happy Easter
 
MJ1 si wa kukuvinja moyo,am kweli ukishang'atwa na nyoka.......

naomba usiogope kupenda....penda tena sana....ukivunjwa moyo mara nyingi kama dearest wako....utakuwa strong sana na utapenda tu hata pale usipotarajia kupokea upendo....l.o.l

Dearest ndo maana nakupenda..yani unaniandaa kabla hata sijaumwa!Back to topic...nani na nani wanasali Mt. Joseph kesho tushee kitabu cha tenzi pale kiti cha pili kutoka mwanzo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom