kaka mbona umeanza kuchokonoa ya siri sitaki kusema
Kwahiyo ndo ushanitosa rasmi?funguka watu wakusikie au kisa Tembosa kakutangazia ndoa?mimi nimechelewa?
Hakyanani sista mi nakuambia kama utaolewa na mtu hana pickup, hana nyumba ya block hana friji, hana flati skirini... ujue umepotea mengele
Hakyanani sista mi nakuambia kama utaolewa na mtu hana pickup, hana nyumba ya block hana friji, hana flati skirini... ujue umepotea mengele
Nikiishiwa verse nachuna huko huko... hamtajua...
ooooh my God thank you ....... your so sweet i love u more Tembosa... may God help us.. be blessed my love
kiwatengu nakusomaha ha ha ha mziki mkubwa ule nadhani Jerrymsigwa atauvusha maji hadi Australia.
Kama siyo Sydney basi ni Melborne! we wa Rombo tafuta vya kirombo rombo!!
mapenzi ya muvi haya
.....unacheka lakini...sijui labda mi ni mshamba....mapenzi ya kuweka public sana hasa kwenye mitandao naona ni kama kutokujiamini.....kuleteana usanii...mapenzi ya kuigiza....mapenzi original watu wanakaa wanaconstruct sio kila mtu ajue.....lakni wao wawili wanatakiwa wajue vizuri kwamba wanapendana na kuconstruct mapenzi yao......Ila kuna mtu kanipa ushauri kwamba ni-take JF-MMU serious sanaha ha ha ha kweli eeeh
nimemaliza
.....unacheka lakini...sijui labda mi ni mshamba.....Ila kuna mtu kanipa ushauri kwamba ni-take JF-MMU serious sana
Oh..!!
Oh my.....!!
Nilisubiri hilo tu, nimemaliza kazi yangu..
Enendeni kwa amani ya bwana...
.....unacheka lakini...sijui labda mi ni mshamba....mapenzi ya kuweka public sana hasa kwenye mitandao naona ni kama kutokujiamini.....kuleteana usanii...mapenzi ya kuigiza....mapenzi original watu wanakaa wanaconstruct sio kila mtu ajue.....lakni wao wawili wanatakiwa wajue vizuri kwamba wanapendana na kuconstruct mapenzi yao......Ila kuna mtu kanipa ushauri kwamba ni-take JF-MMU serious sana