Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,512
- 4,710
Machagueni awapige UnoooGWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.
Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.
GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.
Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.
daah hili kaburi ni la futi 30 mmewezaje kulifukuaKiukweli Askofu Gwajima hapati kitu Kawe. Mzee Makamba mbona keshamaliza kazi🤣
Ukiona mtu anasambaza ujumbe wa kikabila kwa Whatsup ni hatari mno. Rwanda walimalizana kwa sababu ya watu kama akina Gwajima na jiwe. Hawatufai.Amekuambia kuwa akiwa Mbunge Wasukuma wote watahamia Kawe? Hivi kuna Mtanzania asiye Mlaghai / Tapeli? Acheni Unafiki na Chuki zenu pia.
Popoma bhanaWewe hizo 'Akili' ulikuwa nazo lini? Acheni 'Kumshambulia' Gwajima kwa 'Mapungufu' yake ya Kibinadamu ambayo hata Mimi na Wewe tunayo pia.
Mimi nilisema gwajiboy amefanya kosa kubwa sana kuingia rasmi kwenye siasa tena kwa kugombea ubunge kupitia chama cha mapinduzi.
Najua 'Sindano' yangu ya 'Dawa' imekuingia vilivyo na sasa imeanza 'Kukutesa' na 'Kuweweseka' hivi Kwangu. Juha kama Wewe huwa nawamudu.Ndo maana unamwamini Rais Magufuli kwa vile "ANAKUKAZA"!!!!
Hapa kichwa kimeshapata moto sana
Tukisema hapa kila mwenye ID JF ajiweke wazi kuna uwezekano wengine hapa tukawa na 'Mapungufu' kuliko ya Gwajima na hata Shetani hayajui.Mkuu pamoja na kumpima baada ya miaka mitano hii kauli yake unaichukuliaje?!
Mtu makini anaweza kujichanganya kiasi hicho?!
1.Mbona sehemu nyingi za Tanzania hata zile ambazo wabunge ni wa CCM zina matatizo hayohayo. Juzi nimemsikia mhesimiwa mmoja akisema amepita Chato na huko kilio ni kile kile cha maji. Nimesikia watu wakisema hata kwa Mheshimiwa Ndungai matatizo ni hayo hayo. Tanzania hali ya umasikini ni kubwa na hapo CCM ingetakiwa tu kupumzika kwa sasa.GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua kero ya muda mrefu ya maji maeneo mengi ya jimbo letu.
Umepeleka umeme kata nyingi, umejenga vyumba vya madarasa kwenye kata karibu zote, umetanua barabara ya Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge ili kupunguza msongamano, umejenga barabara nyingi za mitaa kwa kiwango cha lami na zinapitika muda wote. Mheshimiwa Rais tunakushukuru sana.
GWAJIBOY AKIMZUNGUMZIA MDEE: Mheshimiwa Rais jimbo hili ni kama halina mbunge. Kwa miaka mitano ya viti maalumu na 10 ya ubunge huyu mama hajali shida za wananchi kabisa. Maeneo mengi ya jimbo letu yana shida ya maji. Kata ya Mabwepande, Madale na Goba maji yanatoka mara moja tu kwa wiki na wakati mwingine hadi wiki mbili hayatoki.
Baadhi ya maeneo mtandao wa umeme haujafika kama kule Kisauke na Mbopo. Maeneo ya Mabwepande kuna uhaba wa vyumba vya madarasa watoto wanasongamana darasani na wengine wanakaa chini. Barabara nyingi za mitaa hazijakarabatiwa na hazipitiki. Mbunge yupo tu hakuna anachofanya. Kazi yake ni kuchochea migomo na kutoka bungeni.!
Hapana huyu ni hatari zaidi ya bashite,kawe tupunguzieni idadi ya wasema ndio bungeniAkishafanya toba na wahusika na Mungu wake yameishaaaaa. Wewe umefanya mashamba wangapi hata toba hujafanya🙄
Ni heri kuwa na mapungufu lkn si kioo Cha jamiiTukisema hapa kila mwenye ID JF ajiweke wazi kuna uwezekano wengine hapa tukawa na 'Mapungufu' kuliko ya Gwajima na hata Shetani hayajui.
Rwanda na Tanzania ni sawa? Je, unajua 'Context' nzima ya Yeye Gwajima kuwahusisha hivyo hao Nduguze Wasukuma? Mmezidi Kumshambulia.Ukiona mtu anasambaza ujumbe wa kikabila kwa Whatsup ni hatari mno. Rwanda walimalizana kwa sababu ya watu kama akina Gwajima na jiwe. Hawatufai.
Popoma Shangazi yako / Mjomba wako 'Pimbi' Wewe. Ndiyo kuhusu hizo 'Dhambi' zingine nazifanya tena huenda hata pia Kumzidi huyo Gwajima.Popoma bhana
na ww unatafuna kondoo?
unavunja ndoa za watu?
unafufua?
anyway,shetani jamaa yake ni ibilisi acha waongozane
Tusiwe wepesi wa kusahau, klip hizi zinatukumbusha Rangi halisi ya Gwajima.Kiukweli Askofu Gwajima hapati kitu Kawe. Mzee Makamba mbona keshamaliza kazi🤣