BEAUTIFUL WIFE
Member
- Mar 6, 2013
- 13
- 3
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
Hivi ni kweli kwamba mkeo akiwa mjamzito lazima utafute mwanamke nje mwingine kwa jina maarufu kama kimada au inategemea na tabia ya mwanaume mwenyewe?????
mbona mnapenda kuludia mada tena za upuuzi
Ni kweli inaweza kuwa ni upuuzi kwako lakini sio kwa wote.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
kwani we hujui haya
Nani kasema hutakiwi ku-sex na mkeo wakati wa ujauzito? kwanza ndio unatakiwa ufanye ili upanue njia na ni kipindi ambacho mkeo anakuhitaji sana, kwa upande wangu huwa tuna-do hata the latest minutes, yaani kama kesho ndio anaenda hospital basi leo ni lazima.....
Hii ni tabia mbayatu ya mtu na kamwe haiwezi kuwa generalized kuwa ni tabia ya wanaume wote. Mimi sifnyi hivyo na nikiwa nje ya nchi hata kwa zaidi ya mwaka huwa naweza kujizuia. Wanaotoka nje ya ndoa kisa mwanamke ni mjamzito wajichungze
Hahahhaaaa kumbe you just said....ukweli ndio huo bhana, sio kwamba mnafanya hadi mimba itoke ni namna fulani ya kuridhishana tu, sio zile za kukomoanaITS POSSIBLE BUT ITS JUST TACKY!!!!!!!!!!!! Haswaa mimba kuanzia miezi 7! Inakuwa kama unafanya rituals wala sio recreaional activity kabisaaa!
Im just sayin!
mmmh! lara 1, haiwez kuwarituals bana, ni kawaida na kama mama haumwi inaruhusiwa. so far huwa ni zoezi zuri sana kwaajili ya kutanua njia na easy delivery. ukimudu sarakasi miezi ya mwisho inamaana hata kwenye kuzaa pumzi itakuwepo na utafyatua bila hata tearingITS POSSIBLE BUT ITS JUST TACKY!!!!!!!!!!!! Haswaa mimba kuanzia miezi 7! Inakuwa kama unafanya rituals wala sio recreaional activity kabisaaa!
Im just sayin!
Hahahhaaaa kumbe you just said....ukweli ndio huo bhana, sio kwamba mnafanya hadi mimba itoke ni namna fulani ya kuridhishana tu, sio zile za kukomoana
na kimsingi mimba so ugonjwa bana na wala sio ulemavu, kwa raha zangu hadi siku naingia leba
Asante kwa kuniiunga mkono my Dear, mimba ya mwisho ya mke wangu tuli-do hadi kesho yake nampeleka Leba, kikubwa ni kufanya kwa ustaarabu sio vita.....tatizo wengi wetu wanajua ilekitu ni hadi utoke jasho, umkunje mwenzio as if unapiga mwizi......
Ha,ha,ha....mi nadhani najua kuliko wewe , I think ni tabia tu ya mtu sijui wewe mwenzangu unajuaje???
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums