This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech

Baadhi ya speech jengoni not only lack intellectual depth bredth that characterized mwalimus speech but but also extremely insensitive to needs,aspiration and sensibility ya watanzania,Nyerere foundatio should make mwalimus speeches available for download (mobile freindly mp3 format is a desirable option)
 
Mmmh, mbona napatwa shaka hapa Taso... siongelei enzi za TAA na SAP; kwani uchaguzi wa kwanza ulioshirikisha hata akina Lyatonga Mrema ulikuwa lini vile..kindly asking.

Edit:

Sorry, nimeona - umesema "mamlaka".
Uchaguzi huo wa kwanza wa kina Mrema ulikuwa 1995, miaka kumi baada ya Nyerere kuacha urais 1985. Huwezi uka make observations worth your name about Tanzanian political history and miss such fact by ten years, I mean you just can't be serious. Nyerere alikataa, alikandamiza, vyama vingi and political pluralism in Tanzania.

Generation ya hapa jamvini wachache sana walioona chaguzi za Nyerere, wa mwisho ulikuwa 1980. Ambao hawakuwa na legal voting age tunasikia kwenye oral history (historia ya Mwafrika ni simulizi, haiandikwi) tunasikia ballot box zilikuwa na picha ya Nyerere against a blank box, za wabunge zilikuwa zina nembo ya CCM against jembe na nyundo, za udiwani zilikuwa na picha ya CCM against picha ya jogoo.
And that was the democratic proclivity of Nyerere. Chagua CCM au kuku!

Tumetoka mbali. Bahati mbaya historia haziandikwi, hakuna anae bother, au anaejua, au mwenye balls za kuandika objective history of the man and his conscience, his
terribly hideous autocratic inclinations and such. Alifanya mengine, lakini Nyerere sie aliyeruhusu vyama vingi.
 
Juzi nilikuwa kwenye msiba wa mama mmoja hapo MbeziBeach. Akawepo na Mramba pia.Alikaa pale kwa taabu. Akionekana kutilia mashaka kila anayemwangalia. Hatakuwa na raha tena hata kama hatafungwa. Dhamira hii ya Mwalimu itawatafuna sana.
 
If the leadership bar was set this high in the sixties, what went wrong in between to bring it so low mpaka na akina Rostam wakaona wanafaa kuongoza?

Nyerere bwana alikua na idea alizoziamini kwa ubora na zinasikika vizuri kwa watu wengi, sasa kua na idea nzuri na kujenga tokana na idea uliyonayo ili iwe kweli hapo ndio ugumu uliopo. Hata hakujua namna ya kutafuta watendaji wazuri wa kumsaidi kujenga tokana idea zake.
Alikata mshahara wake 20% papo kwa papo, sasa laweza kua jambo zuri lakini yaonyesha zaidi alivyokua anaamua mambo kwa kukurupuka na kua power zote alijiwekea yeye mwenyewe - majibu yote kwa wanachuo alikua nayo na yalikua ni final bila mjadala wa ziada - he was a dictator sort of.

Alijipa power zote, nashangaa bado hakujenga TZ imara - wakati huo hata KOREA karibu tulifanana kiuchumi.

Hawa viongozi tulionao chini ya CCM, hawalipizi kitu ila wanafanya mambo tokana na culture ya CCM iliyojengeka toka enzi za Nyerere.
 
Mwalimu alikuwa na sababu nzuri tu ya kukataa vyama vingi wakati ule. Vingekuwa vya KIKABILA na KIDINI zaidi kama ilivyo kwa jirani zetu hapa Kenya. Na kama utakumbuka ni yeye aliyeanzisha mjadala wa kuvirudisha na sio CCM kama anavyosema Nape.
 
Hivi ni kweli kwamba hatuna viongozi wa aina ya Mwalimu kwa sasa au hawapewi nafasi?

Mimi nadhani viongozi hwa hawasubiri kupewa nafasi bali wana stand out from the crowd, mfano mdogo regardless of ur stand kuaminiwa kwa Dr. Slaa kulianzia pale alipostand out from the crowd kwenye shughuli za bunge. Hakusubiri agombee ubunge CCM baadae apewe uwaziri ndiyo aonyeshe ni nini anaweza.
 
Mazingira ya wakati ule yalikuwa hivo. Na kati ya vilivyofutwa baadhi vilikuwa na mwelekeo huo.
Vyama vingi vilikuwepo, Nyerere alivikuta havina udini wala ukabila, akavifuta. Udini na ukabila haukuwa issue toka mwanzo, ndio maana Watanganyika waligombea uhuru kwa umoja wao.

Kungekuwa na siasa za kidini na kikabila wakati huo Nyerere asingekaribishwa pwani alikolelewa kisiasa kutoka kwao Mara huko na kushinda uongozi.
Usipotoshe historia. Nyerere alifuta vyama vingi, na sie aliyeviruhusu. Asingeweza kuviruhusu kwa sababu hakuwa na uhalali wa kimaadili (moral authority) ya kutamka lolote kuhusu vyama vingi maana yeye alivivunja na baadhi ya dissidents wake walifungwa, walikimbizwa, waliuliwa.

 
If the leadership bar was set this high in the sixties, what went wrong in between to bring it so low mpaka na akina Rostam wakaona wanafaa kuongoza?
sixties generation received sound colonial education hasa pale makerere.Baada hapo education stardards zime back slide hadi kufukia tulipo sasa.siyo elimu tuu hadi uchumi,siyo siri pato la mwanachi limepungua in real term ukilinganisha na pato la baba wetu.Hili hasa ndio limezuwa perception na sentiment ya afadhali mkoloni.
 

He was the great philosopher and icon of motivation why he failed? that has along discussion on his another side. Never mention or ask these before Mwanakijiji he will devour you!
 

Kumbe mambo ya UDOM like yameanza siku nyingi!

The million dollar question is; what was supposed to to be done to prevent these our current fathers/leaders who are eating the cake of this country mercilessly??

The speech is good, what was the outcome/impact of this speech? I bet Nyerere was alone to build this nation, believe me!. Did Nyerere know this? in what extent? what was his action?
 
yan that speech has inspired m a lot. Nyerere was my guy,my leader
 
Sina uhakika na uelewa wako wa historia ya Nchi hii lakini hilo sio issue iliyo kwenye thread hii. Anayejadiliwa hapa sio Mwalimu bali baadhi ya maamuzi mazito ya kiuongozi aliyowahi kuchukua ulinganishe na hali ilivyo sasa. Na kama ulimchukia Mwalimu tangu zamani itakuwa taabu kuyaona mema aliyoyafanya wakati wa Uongozi wake. Isome tena post ya kwanza ya thread hii.
 

hapo kwenye red kwa sasa mkuu wa nchi alitakiwa awaambie wabunge na watumishi wengine wa serilkali kuwa kuondolewa kwa posho na kupuguzwa kwa mshahara sio lazima, ila ni lazima kwa anayetaka utumishi huo, kama wanaona hauna maslahi waache tu kuifanya hiyo kazi, wawaachie wengine watakaokubaliana na malipo hayo kiduchu.
 
Hebu mshaurini Dr Slaa akate "posho" yake anayopata pale CHADEMA sasa.
 
If the leadership bar was set this high in the sixties, what went wrong in between to bring it so low mpaka na akina Rostam wakaona wanafaa kuongoza?

This is very difficult question nkulumba, it is a matter of decribing Nyerere's era in deep. He failed in many ways but he was great in everyways compared to what we have today. He is neither the infallible nor the benchmark. His successors will never fit him. He will remain the Icon of inspiration and motivation that was a gift from God in his time. But to be honesty he will remain to be the only leader who will face criticism and extoling endlessly especially when his crown of him being the Father of this nation is concerned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…