ndugu yangu ama kweli dunia ni ya ajabu!
Hatimaye mtoto wa kifalme amezaliwa na umati uliokusanyika huko, na jinsi habari hiyo inavyorushwa na kushabikiwa na vyombo mbali mbali vya habari utadhani kaja messiah!
Lakini kama malkia wa uingereza ndiye mkuu wa jumuia ya madola - ambayo na sisi tumo tena kwa unyenyekevu na utii mkubwa, huenda mapokezi anayopewa mwana mfalme huyu ni stahili yake!
Wewe na mimi acha tuendelee kunwombea shujaa mandela, mwana wa madiba