tena mama yake ana imani kali sana kamweka ribbon ya green akimaanisha uhai so she hopes kwamba atapona na anaish hata kama kwa kusaidiwa na mashine.
snowhite katika makosa ambayo wazazi wengi wanafanya ni pamoja na kujisahau. utakuta mtoto siku ya b'day mama anampigilia pamba, na kutuma matangazo fb, bango, twitter etc akasahau kabisa swala la kwamba kapata hayo kwa neema tu hivyo amrudishie kwanza Mungu sifa na tukufu. ifike mahali siku ya b'day ya mtoto umchukue mwanao uende nae hosp kutembelea wodi ya watoto ama vituo vy ayatima ili nae ajue kapata haya kwa neema tu.na huu ujumbe ukue ndani yake kila siku.
tumewazoeza watoto wetu raha za outing, kids fun clubs nk tukasahau upande wa pili wa shilingi ambao unahitaji kuwa wazi