This Child Has Cancer . He Need Maximum Prayers . 1 Like ---- > 1000000 Prayers For Him !

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
Mtoto anao ugonjwa wa Saratani Kensa anahitaji maombi yenu mumuombee dua jamani...............

430963_471502419554740_757769610_n.jpg
 
mungu amponye mtoto huyu.

sina la kusema nimejikuta naangalia kwann ninao wangu wazima na huyu anaumwa hivi nikakosa jibu, manake
je ni kwamba ni haki yangu kuwa nao wazima ...........jibu sio haki yangu
je ni kwamba ninasali sana ............jibu hapana
je ni kwamba ninastahili...................jibu hapana
je ni kwamba mm ni mwema sana na wazazi wa mtoto huyu ni wadhambi .........jibu hapana.
je ni kwamba Mungu anawapenda wanangu ama mm zaid......jibu hapana kwani Mungu hana upendeleo.

nika conclude kwamba ni kwa neema tu nimepewa watoto hawa, na huyo yupo si kwamba Mungu anamchukia la hasha ila anataka kutufunza tuwe na ibada za kweli na sio za kwenda kanisani bali za kutazama wagonjwa , kusaidia yatima na wajane na kujitenga na dunia tusitende dhambi.
 
mh!umetafakari kwa kina sana ujue lol!umenisaidia na mimi kujitazama upya kiimani!
ila nimependa jinsi mzazi wake jinsi alivo na hope kwa mwanae angalia alivomwekea ribbon!sijui kama umeiona saikolojia yake!
 
tena mama yake ana imani kali sana kamweka ribbon ya green akimaanisha uhai so she hopes kwamba atapona na anaish hata kama kwa kusaidiwa na mashine.
snowhite katika makosa ambayo wazazi wengi wanafanya ni pamoja na kujisahau. utakuta mtoto siku ya b'day mama anampigilia pamba, na kutuma matangazo fb, bango, twitter etc akasahau kabisa swala la kwamba kapata hayo kwa neema tu hivyo amrudishie kwanza Mungu sifa na tukufu. ifike mahali siku ya b'day ya mtoto umchukue mwanao uende nae hosp kutembelea wodi ya watoto ama vituo vy ayatima ili nae ajue kapata haya kwa neema tu.na huu ujumbe ukue ndani yake kila siku.

tumewazoeza watoto wetu raha za outing, kids fun clubs nk tukasahau upande wa pili wa shilingi ambao unahitaji kuwa wazi
 
Last edited by a moderator:

kama haya yanatoka kichwani na moyoni mwako basi u-mtu mzuri sana hata hivyo mungu akubariki kwa maandiko haya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom