akili haunazo, unafikiri watu wote ni wajinga wajinga kama wewe? wewe ni nani hasa mpaka watu wapitie kwako ndio wajue status zao? ungekuwa wewe ni mtu wa msaada ungewawekea link hapa na sio kutafuta kkNitumie index namba yako ya form four nikuangalizie tuma whatsap 0744280107
sasa hapa umeongea nn? privacy za watu ndo wewe unapaswa kuzijua au? wewe ni hewaAcha kuongea upuuzi aisee kuna vitu vya watu ni privacy acha utoto
Kijana nimefata procedure yako ...na nimefanikiwa kumuangalizia mdogo wangu...aiseee kafurahi sana na anakushukuru sana maana toka asubui analia tu alipata one (PCB) ila walikua hawajamchukua....... Hapo wamemuandikia anaenda udsm kuchukua zoology ila mpaka asubili jina kutolewa kwenye tovuti ya chuo......Nitumie index namba yako ya form four nikuangalizie tuma whatsap 0744280107
mmmmmhhhhh...!!!! one na zoology?🙁🙁🙁🙁 ...!!!!!! ila mpe hongera zakeKijana nimefata procedure yako ...na nimefanikiwa kumuangalizia mdogo wangu...aiseee kafurahi sana na anakushukuru sana maana toka asubui analia tu alipata one (PCB) ila walikua hawajamchukua....... Hapo wamemuandikia anaenda udsm kuchukua zoology ila mpaka asubili jina kutolewa kwenye tovuti ya chuo......
Thanks
Yaan we acha tu!!!mmmmmhhhhh...!!!! one na zoology?🙁🙁🙁🙁 ...!!!!!! ila mpe hongera zake
Naomba niaqngalizie S0128/0069/2008Kijana nimefata procedure yako ...na nimefanikiwa kumuangalizia mdogo wangu...aiseee kafurahi sana na anakushukuru sana maana toka asubui analia tu alipata one (PCB) ila walikua hawajamchukua....... Hapo wamemuandikia anaenda udsm kuchukua zoology ila mpaka asubili jina kutolewa kwenye tovuti ya chuo......
Thanks
Kweli kabisaKaka ulianzisha huu uzi ubarikiwe hao wengine washaenda vyuoni mda mrefu wasikusumbue.
Jifikilie mm na wewe asie na akil nan sasa watu wana matatzo binafsi kwenda vyuon tunapeana ushaur direct sio hapa aisee na sitoz hela wala chochote tofauti na hapo sasa tatzo linakuja wapi hebu jichinguze aisee una matatzo mno aiseee kukurupuka hakuna tija uliza hao ambao nishawatumia na sifanyi kwa lengo lolote unalofikilia wewe anzisha uzi basi na wewe utakaowafikia watu direct mtu mtu akikosa kupitia link utamsaidia vipi?mtu akija kama kakosa tunashauriana direct aisee acha kukurupukaakili haunazo, unafikiri watu wote ni wajinga wajinga kama wewe? wewe ni nani hasa mpaka watu wapitie kwako ndio wajue status zao? ungekuwa wewe ni mtu wa msaada ungewawekea link hapa na sio kutafuta kk
kwani wewe ni nani nauliza? wewe ni computer ya pale HESLB au? maneno meengi pointi zeroJifikilie mm na wewe asie na akil nan sasa watu wana matatzo binafsi kwenda vyuon tunapeana ushaur direct sio hapa aisee na sitoz hela wala chochote tofauti na hapo sasa tatzo linakuja wapi hebu jichinguze aisee una matatzo mno aiseee kukurupuka hakuna tija uliza hao ambao nishawatumia na sifanyi kwa lengo lolote unalofikilia wewe anzisha uzi basi na wewe utakaowafikia watu direct mtu mtu akikosa kupitia link utamsaidia vipi?mtu akija kama kakosa tunashauriana direct aisee acha kukurupuka
Simply hujitambui ushamba wa social networks usiurete hapa unachokiongea hata hujielew et HESLB uko timamu kweli wewe kichwan nina makina ya page 900 yasiyo na link kutoka 1 mpka 3 round nielekeze basi nayawekaje punguani wewe kila kitu kina maana yake umekalia HESLB umeona tunaongelea kitu kama hiko hao watu wanaoshukuru unazani ni wajinga kama wewe mzee wa kirupuka nipe ushaur nafanyajekwani wewe ni nani nauliza? wewe ni computer ya pale HESLB au? maneno meengi pointi zero
Ok poa namchekiaMuangalie dogo s0330/0228/2013
Poa..Ok poa namchekia
Hajapata badoPoa..
Hajapata badoNICHEKIE HII KAKA S0542/0051/2000