Think twice kabla hujatupa chakula

Katika jadi ya makabila mengi ya kiafrika watoto toka udogoni mnafundishwa KUTOTUPA CHAKULA.....Ni jadi ambayo hadi leo katika hizi familia za kisasa (dot.coms) inatakiwa kusisitizwa sana kwani UKIONA UMEPATA CHAKULA CHA KUTOSHA HADI KUSAZA MSHUKURU SANA MUNGU WAKO; sio wote wana chakula muda huo!!!

Unachookoa katika kuandaa KIASI cha chakula kitakashotosha tuu waweza kitumia kusaidia wengine wenye shida (genuine) kwa njia mbalimbali.
 
Ni afadhali upike kidogo kisipotosha kwa sababu bado kipo upike tena kuliko kutupa chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…