Think Tanks in Political Parties in Tanzania

Azizi Mussa

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2012
Posts
9,199
Reaction score
7,561
Vyama vya siasa na hasa chama kinachotawala ndio hutoa muelekeo wa nchi na maisha ya watu kwa ujumla.

Ili kuweza kuwa na muelekeo bora, ni lazima ndani ya chama kuwe na watu wenye fikra sahihi na zenye mapana.

Katika hali ya kawaida, inategemewa kwamba vijana ndani ya Vyama vya Siasa kupitia jumuia zao ndio wawe "Think tanks" na kutoa mawazo ambayo yanaweza kuipeleka Nchi mbele kwa kila iwezakanavyo.

Kwa bahati mbaya mtu hawezi kutenda kitu nje ya anachofikiri na hawezi kufikiri nje ya kile anachokijua, na hawezi kujua kitu ambacho hajajifunza.

Kwa mantiki hiyo, ni ushauri wangu sasa kwa vijana ndani ya Vyama vya Siasa kujitahidi kusoma vitabu.Sio kusoma ili wafaulu mitihani bali kusoma ili kuelewa Falsafa, Strategies, principles na Concept mbalimbali za maisha. Mtu anayejifunza kitu kipya si sawa na yule asiejifunza na hauwezi kuwa na mawazo ya maana kama hauna tabia ya kujifunza kila siku na kile unachojifunza kikawa ni kitu cha maana.

Kama vijana ndani ya Vyama vya Siasa watalielewa hili na kulifanyia kazi, baada ya ya muda mfupi watajikuta fikra zao zinaanza ku vibrate kwenye high frequencies na hapo wataanza kuiona dunia katika mwanga tofauti kabisa. Hapo ndipo tutakapojikuta tukipata mawazo na aina ya vijana ambao wanaweza wakafanya vitu ambavyo havikufikirika sasa na hapo kabla.

Naamini hili litapokelewa kwa namna chanya kwani hii ni moja ya njia muhimu kutufanya tupige hatua mbele.

vitu tunavyofanya = vitu tunavyofikiri = Vitu tunavyootesha ndani ya fikra zetu = vitu tunavyojifunza & Vise Versa.
 
Na mimi wacha nikalie seat no 1. Kwanza...
 
Kunijadili mimi au kukujadili wewe hakutasaidia kitu. kama ungeelewa au kujadili concept iliyotolowewa ingependeza zaidi.
Tujadili concept ya vijana ndani ya siasa bila kuwajadili vijana wenyewe?

Tunataka kujua ushauri huu mzuri unatoka kwa kijana mwenzetu aliye ndani au nje ya siasa?

Pengine wewe ni mzee?
 
Decent advice. .sio tu vijana waliopo kwenye siasa ila every Tanzanian as an individual ni vyema kabisa kufanyia kazi [HASHTAG]#PersonalDevelopment[/HASHTAG] by whatever available means.
 
Ingependeza kichwa cha habari kisomeke BONGO POLITICAL PARTIES THINK TANKS
 
..nadhani kuna tatizo kuhusu maana ya THINK TANK.

..kwa uelewa wangu Think Tank ni taasisi au chombo kinachofanya utafiti wa sera zinazohusu masuala mbalimbali ktk nchi/jamii.

..Chombo hicho kinaweza kujishughulisha na utafiti wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kijeshi, usalama, elimu, afya, sheria, etc etc.

..Tafiti na findings toka ktk Think Tanks hu-influence maamuzi ya serekali mbalimbali ktk nchi zilizoendelea kutokana na serekali hizo kuwa na mahusiano ya karibu na Think Tank husika.

..Hata vyama vya siasa na wabunge sera na misimamo yao huwa influenced na tafiti au matokeo ya tafiti za Think Tanks.

..Kwa hapa Tanzania, taasisi ambazo unaweza kuziita Think Tank, ni kama ESRF, HAKI ELIMU, LEAT, etc.

..Nchini Marekani Think Tanks maarufu ni kama Heritage Foundation, Brookings Institute, Center for Foreign Relations, etc.

..Kwa Wamarekani kuna think tanks ziko karibu zaidi na Republicans, na nyingine zinafanya kazi na Democrats.

..Sasa kwa hapa Tanzania, tunaweza kuangalia mahusiano na ukaribu baina ya vyama vya siasa na Think Tanks zilizopo.
 
Ili kuweza kuwa na muelekeo bora, ni lazima ndani ya chama kuwe na watu wenye fikra sahihi na zenye mapana.

Katika hali ya kawaida, inategemewa kwamba vijana ndani ya Vyama vya Siasa kupitia jumuia zao ndio wawe "Think tanks" na kutoa mawazo ambayo yanaweza kuipeleka Nchi mbele kwa kila iwezakanavyo.
kweli kabisa . . . tatizo vijana wenyewe fikra zao fupi kweli kweli, sidhani kama hata wana muda wa kusoma vitabu
 
..nadhani kuna tatizo kuhusu maana ya THINK TANK.

..kwa uelewa wangu Think Tank ni taasisi au chombo kinachofanya utafiti wa sera zinazohusu masuala mbalimbali ktk nchi/jamii.

..Chombo hicho kinaweza kujishughulisha na utafiti wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kijeshi, usalama, elimu, afya, sheria, etc etc.

..Tafiti na findings toka ktk Think Tanks hu-influence maamuzi ya serekali mbalimbali ktk nchi zilizoendelea kutokana na serekali hizo kuwa na mahusiano ya karibu na Think Tank husika.

..Hata vyama vya siasa na wabunge sera na misimamo yao huwa influenced na tafiti au matokeo ya tafiti za Think Tanks.

..Kwa hapa Tanzania, taasisi ambazo unaweza kuziita Think Tank, ni kama ESRF, HAKI ELIMU, LEAT, etc.

..Nchini Marekani Think Tanks maarufu ni kama Heritage Foundation, Brookings Institute, Center for Foreign Relations, etc.

..Kwa Wamarekani kuna think tanks ziko karibu zaidi na Republicans, na nyingine zinafanya kazi na Democrats.

..Sasa kwa hapa Tanzania, tunaweza kuangalia mahusiano na ukaribu baina ya vyama vya siasa na Think Tanks zilizopo.
Uko sahihi Mkuu, ila taasisi za namna hiyo unayosema hapa kwetu hatuna na kama zipo ni idara ndani ya vyama ila yote kwa yote bado hoja ya msingi inabaki pale pale
 
..nadhani kuna tatizo kuhusu maana ya THINK TANK.

..kwa uelewa wangu Think Tank ni taasisi au chombo kinachofanya utafiti wa sera zinazohusu masuala mbalimbali ktk nchi/jamii.

..Chombo hicho kinaweza kujishughulisha na utafiti wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kijeshi, usalama, elimu, afya, sheria, etc etc.

..Tafiti na findings toka ktk Think Tanks hu-influence maamuzi ya serekali mbalimbali ktk nchi zilizoendelea kutokana na serekali hizo kuwa na mahusiano ya karibu na Think Tank husika.

..Hata vyama vya siasa na wabunge sera na misimamo yao huwa influenced na tafiti au matokeo ya tafiti za Think Tanks.

..Kwa hapa Tanzania, taasisi ambazo unaweza kuziita Think Tank, ni kama ESRF, HAKI ELIMU, LEAT, etc.

..Nchini Marekani Think Tanks maarufu ni kama Heritage Foundation, Brookings Institute, Center for Foreign Relations, etc.

..Kwa Wamarekani kuna think tanks ziko karibu zaidi na Republicans, na nyingine zinafanya kazi na Democrats.

..Sasa kwa hapa Tanzania, tunaweza kuangalia mahusiano na ukaribu baina ya vyama vya siasa na Think Tanks zilizopo.

Habari Zenu Wakuu,

Ningependa kupata msaada wa kujua kama hapa nchini Tanzania kuna hizi organizations ambazo nchi za wenzetu wanaita "Think Tanks"

Nchi za wenzetu hizi "Thinks Tanks" zimekua ni very influential kwenye ku'advocate varieties of public and social policies na pia kufanya research na kutolea utatuzi juu ya masuala mbali mbali ya kijamii ikwemo ya kiuchumi, kisayansi na mengineyo mengi.

Think Tanks kwa nchi zilizoendelea imetoa ajira kwa vijana wengi ambao wamemaliza elimu ya juu. Pia nina uhakika hata hapa Tanzania inaweza kuwa msaada mkubwa katika kutoa ajira na kuwapa uzoefu kwa vijana wengi waliomaliza elimu ya juu ambao wana uwezo kiakili lakini hawana kazi.

Msaada wangu hasa kutoka kwenu wakuu ni haya yafuatayo;

1) ningependa kujua structure yake kama unataka kuanzisha according to local laws inatakiwa iweje na vitu gani specific hasa ambapo kisheria hizi "Think Tanks" zinaruhusiwa kufanya.

2) Au kama zipo sema hapa Tanzania zinapewa majina mengine pia ningependa kufahamishwa

Asanteni Sana.
 
..nadhani kuna tatizo kuhusu maana ya THINK TANK.

..kwa uelewa wangu Think Tank ni taasisi au chombo kinachofanya utafiti wa sera zinazohusu masuala mbalimbali ktk nchi/jamii.

..Chombo hicho kinaweza kujishughulisha na utafiti wa masuala ya kijamii, kiuchumi, kijeshi, usalama, elimu, afya, sheria, etc etc.

..Tafiti na findings toka ktk Think Tanks hu-influence maamuzi ya serekali mbalimbali ktk nchi zilizoendelea kutokana na serekali hizo kuwa na mahusiano ya karibu na Think Tank husika.

..Hata vyama vya siasa na wabunge sera na misimamo yao huwa influenced na tafiti au matokeo ya tafiti za Think Tanks.

..Kwa hapa Tanzania, taasisi ambazo unaweza kuziita Think Tank, ni kama ESRF, HAKI ELIMU, LEAT, etc.

..Nchini Marekani Think Tanks maarufu ni kama Heritage Foundation, Brookings Institute, Center for Foreign Relations, etc.

..Kwa Wamarekani kuna think tanks ziko karibu zaidi na Republicans, na nyingine zinafanya kazi na Democrats.

..Sasa kwa hapa Tanzania, tunaweza kuangalia mahusiano na ukaribu baina ya vyama vya siasa na Think Tanks zilizopo.

Mara nyingi hizi think tanks zinakuwa zinakuwa organized na managed by proffesional associations. Hapa bongo tatizo hakuna proffesional associations nyingi. Na zile zilizopo zimekaa kisiasa ni week na zina strong affiliation na serikali hivyo kufanya zisiwe influencial katika maswala mbalimbali. Kazi ya advocacy hapa kwetu inafanywa na NGO's ambazo pia zinategemea ufadhili na hivyo kufanya kazi kwa masilahi ya wafadhili.

Sioni uwezekano wa mtu mmoja mmoja kuanzisha think tank ambayo itakuwa na influence. Option iliyipo ni kusajili kama NGO.

Lakini tungeweza kuwa na proffesional associations zenye nguvu ni rahisi ku move forward kwenye kuinfluency. Maana vyama vya kitaaluma vinatambulika kiserikali.

Kipo chama kinaitwa Tanzania Proffesional Network -TPN. Kinafanya kazi kwa msimu labda ungewasiliana na wahusika kuona kama mnaweza kuanzisha different interest groups within TPN ambazo ndo zitakuwa na wataalamu tofauti tofauti wa nyanja mbalimbali.
 
Back
Top Bottom