Things you don't like to touch

bustan ya kifuan ya me yaan sipendi af naifananisaha na karunguyeye
 
hata mimi sipendi kushika hii.......
ila kuna vingine havikwepeki kugusa.....kama baadhi ya vilivyotajwa hapo juu......


Aaah?
Mimi havinipi tabu, karibu vyote vilivyotajwa, ingawa vitanifanya tu nisiwe komfotabo...
Ila Polonium 101 mazee, once ukigusa, you're dead!
 
Labda ikizidi... Vinginevyo... Iko poa sana...

Hata ikiwa kiduchu inaboa bwana.
 
sometimes nachukia kisa nimechelewa ndo mnanisaidia kutaja sio vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…