Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
ha ha ha haaaaaaa, umenifurahisha sana!Nazjaz, umesahau na haya;Zanzibar kabla na baada ya uhuru ilikuwa na njia za reli,Mwalimu (RIP) akazing'oa na kuzihamishia bara.Zanzibar ilikuwa na mbuga za wanyama,Mwalimu akawahamishia Serengeti na Mikumi.Zanzibar ilikuwa na maprofesa waliobobea,Mwalimu akawahamisha wafundishe bara.Zanzibar ilikuwa na vyuo vikuu kadha wa kadha, Mwalimu akavifunga vyote na kuanzisha UDSM.Zanzibar ilikuwa huru chini ya Sultani Rhamshid IbnAbdullah, Mwalimu akafanya njama na kumng'oa.Bahati Wazanzibari wamepata mkombozi mpyaKwa jina Jakaya Mrisho Kiwete na uhuru uko njiani.Lazima tuhakikishe haya yanaingia WikipediaNa historia mpya ya Tanzania inaandikwa, loo !Kaaaaaaaaazi kweeeli kweeeeeeli !
You are not only crazy but stupid as well!
Una bahati mbaya sana ya kuelezea kutojua kwako juu ya historia ya Zanzibar na Tanganyika.Kwa maono yangu wewe ni kati ya wale wavivu wa kupindukia na usijue jinsi ya kujikomboa na uvivi na umasikini wako wa kujitakia.
Zanzibar kuwa na tani 5000 za dhahabu? kwa mgodi upi tueleze
Wakati wa uhuru Zanzibar haikuwa na watu zaidi ya 500,000, ambapo Tanganyika ilikuwa na watu milioni 9.
Kasome historia yako kabla ya kuweka upupu wa kijinga.
Halafu vita ya Idi Amin 1982?
Kijana naona umezaliwa juzi na hujui hata matukio ya liyotokea miaka hiyo.Kama ulikua bado mimba, vita hiyo ilianza 1979 na iliisha 1980/81.
Upupu wa kuhadithiwa unawafanya mnakuwa vituko ndani ya jamii.
Up until 1984 Zanzibar was the sole financiier of the Mainland Govt? Yaani watu almost 800,000 wanawalisha watu karibia milioni 30.
Una matatizo ya kijinsia na sina zaidi.
ZANZIBAR BILA
MUUNGANO NI SOMALIA YA KESHO
(UHARAMIA NA AL-QAID)UKWELI NDIO
HUO. Quote by Advocate Jasha
Do you know that Zanzibar Gold Reserve
before and after the Revolution was
estimated at more than 5,000 tons?
You are not only crazy but stupid as well!
Una bahati mbaya sana ya kuelezea kutojua kwako juu ya historia ya Zanzibar na Tanganyika.Kwa maono yangu wewe ni kati ya wale wavivu wa kupindukia na usijue jinsi ya kujikomboa na uvivi na umasikini wako wa kujitakia.
Zanzibar kuwa na tani 5000 za dhahabu? kwa mgodi upi tueleze
Wakati wa uhuru Zanzibar haikuwa na watu zaidi ya 500,000, ambapo Tanganyika ilikuwa na watu milioni 9.
Kasome historia yako kabla ya kuweka upupu wa kijinga.
Halafu vita ya Idi Amin 1982?
Kijana naona umezaliwa juzi na hujui hata matukio ya liyotokea miaka hiyo.Kama ulikua bado mimba, vita hiyo ilianza 1979 na iliisha 1980/81.
Upupu wa kuhadithiwa unawafanya mnakuwa vituko ndani ya jamii.
Up until 1984 Zanzibar was the sole financiier of the Mainland Govt? Yaani watu almost 800,000 wanawalisha watu karibia milioni 30.
Una matatizo ya kijinsia na sina zaidi.
Nyie si wavivu tu wa kufikiria, Nyerere aliwaambieni baada ya miaka ishirini Znz itamezwa na bahari, kwa hiyo mkombozi wenu pekee ni Tz bara. Wacha tuwaburuzeni kadiri tutakavyoZanziba bila muungano ni Singapore ya Africa
nimeipenda hiyo!Hayo mengine sina uhakika nayo, lakini hiyo vita 1982 nadhani haikuwepo.
Nchi ya kwanza Afrika kuwa na umeme, taa za barabarani, balozi za nje? Je, South Africa, Egypt, etc vitu hivyo havikuwepo? Na kuhusu umeme kwa nini hawalipii umeme wa Tanesco, wanavuna wasipopanda?
Nyie si wavivu tu wa kufikiria, Nyerere aliwaambieni baada ya miaka ishirini Znz itamezwa na bahari, kwa hiyo mkombozi wenu pekee ni Tz bara. Wacha tuwaburuzeni kadiri tutakavyo
na wewe umeamua kuanika ujinga wako hapa! Ukitaka jua kua ni pumba zimeandikwa hapo tuambie ni vita gani ya kagera ya mwaka 1982,mnashauriwa kila siku kuficha ujinga wenu lakini mnawashwa washwa....Wakuu WATANGANYIKA msijitie hamnazo. Mada iliyotolewa hapo juu haina chembe ya uongo, ni ukweli mtupu. Ni hila na ujanja wa Nyerere tu. Eti watanganyika wanashangaa na ZNZ kuwa na tani 5000 za dhahabu. Kasomeni tena history bado hamjaijua au hamtaki kuijua kwa makusudi. Acheni kumsakama FaizaFoxy, hamumuwezi.
Zanzibar wanaiba dhahabu bara matani kwa matani na wanaikimbizia arabuni.
Hivi tujuze bibie,hawa wa Oman na Zenjbar walikuwa waarabu au waafrika?Ikumbukwe kuwa Zanzibar ilikuwa ni Capital ya Sultanate of Oman and Zenjibar (Zenj Empire), sidhani kama ni kitu kikubwa sana kwa empire kubwa namna hiyo kuwa na tani 5,000 za dhahabu. Zanzibar ilitawala Cost ya East Africa yote na zaidi, empire yake ilifika mpaka kongo na rwanda urundi, cha kushangaza ni nini?