Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
hajakosea,hiyo kwenye lugha inaitwa reversal...ni sahihi kabisa kwasababu maana unapaya ile ile...excuse me who are you to correct anything you think or believe is not right? Utaumia ongeza knowledge dada anguLugha za watu hizi jamani.
Kuna tatizo la lugha katika kichwa cha hii habari. Rekebisha.
Hizi copy and paste bila kuelewa unacho-kibandika ni tatizo.
hajakosea,hiyo kwenye lugha inaitwa reversal...ni sahihi kabisa kwasababu maana unapaya ile ile...excuse me who are you to correct anything you think or believe is not right? Utaumia ongeza knowledge dada angu
Rekebisha hapo kwanza.
Andika na wewe Thread yako urekebishe basi unapenda kuleta maneno ya pumba weeeeLugha za watu hizi jamani.
Kuna tatizo la lugha katika kichwa cha hii habari. Rekebisha.
Hizi copy and paste bila kuelewa unacho-kibandika ni tatizo.
Andika na wewe Thread yako urekebishe basi unapenda kuleta maneno ya pumba weeee
Kibongo bongo watumiaji wa mtandao pepe hawafiki hata 5 %...