Tumeona na kusikia ya kina Ufoo, Munishi etc
kuna walioenda mbali zaid hadi hatua ya kutoa uhai au kujitoa uhai yote ni kwa ajili ya mapenzi..
Kwa tulio weza survive na ku move on hebu share hapa story ya mtu au yako ya ajabu ambayo uliwahi fanya au sikia mtu kafanya kwa ajili ya mapenzi
naanza na yangu
plz msiconnect dots..
Wakat niko secondary, teen, first love wangu alinipeleka puta kiasi cha kufikia kuwa na iba (sina hata leseni) gari la mzee ili nimpeleke beach,sinema etc but at the end nil dumpiwa akatoka na jamaa hata simu nahisi alikuwa hana..
Thats love..
Unaweza share yako..