Things Fall Apart in CHADEMA

Things Fall Apart in CHADEMA

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya CHADEMA, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!
 
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya Chadema, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!

Comment not based on facts!!
 
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya Chadema, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!

Kweli umegeuzwa kama jina lako
 
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya Chadema, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!

tangu jana unaanzisha uzi tofauti tofauti kushambulia CDM vp tayari umeshachukua posho. Kitabu cha things fall apart umekisoma kweli, au akili zako zipo chini kwenye kabaang'
 
Ni ukweli usiopingika kuwa suala la Rwakatare haliwapi amani si CHADEMA, CCM wala Serikali (Polisi, Usalama wa Taifa, Mahakama wala Ikulu) Hivyo chama fulani kufanya kikao mpaka saa nane na nusu usiku si suala la ajabu kwa kuwa inawezekana hukuangalia huko Ikulu nako kikao kiliisha saa ngapi, na wala kule Polisi, Usalama wa Taifa, Mahakama na kwingineko. Be creative.
Kila mwanaume huzaliwa na deni, na Ukiwa na deni ukasinzia huwa huna akili. Hii inamaana Kila mwanaume mwenye akili timamu, hasinzii. Be creative!!!!!!
 
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya Chadema, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling 1apart!

1. Naona ulikuwepo kwenye kikao. Elezea undani wa mazungumzo yalivyokwenda.

2. Suala la Rwakatare ni la CHADEma? Abu ni kweli kwamba mlilibuni ili hatimaye mkihusishe chama CDM?

3. Kwa mtazamo huo sasa jamii Lkwamba mko katika mchakato wa kumtumia LUDO ili awa implicate viongozi wakuu wa CDM ili chama kiathirike?

4. Hivi mtu kama wewe, unakubali kutumiwa na ccm, na wewe bila kutumia akili unakubali kutumika. Unalipwa nini ambacho kitaifanya familia yako, ukoo wako wote na vizazi vyao waishi maisha yasiyoguswa na uozo unalozidi kurutubishwa na utawala wa ccm?

5. Unaelewa ni kwa kiwango gani ccm unayoisaidia imechangia wewe kupoteza maisha ya ndugu zako na ama kuwafanya waishi maisha yaliyo chini ya kiwango?.

6. Mungu alikuumba na dhamira. Tafakari sanana kama wa tz wa leo na kesho watakuombea heri kwa ajili ya huu ukibaraka unaoufanya.

Zingatia kwamba, MAISHA YAKO YOTE YAKO MIKONONI MWA MUNGU ANAYEKUJUA NA SIRI ULIZOBEBA.
 
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya Chadema, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!

kageuka if i may ask issue hapo nini kikao kwenda mpaka saa nane au matokeo ya kikao?mnatumia nguvu nyingi kama mateka wa ccm kukimbizana na cdm,elekezeni hizo propaganda zenu kwenye kutatua kero mitaani.
 
Ndo shida ya kutokuwa na enough vocabulary kichwani. Juzi alipofariki Chinua Achebe ndo ukapata hilo neno sasa unalitumia tu hata kama haliapply. Stop behaving like juniors!
 
Kwa kweli hili suala la ugaidi ndani ya chama ni tatozo kubwa sana.wasipoangalia litawaumiza sana
 
Mtu ametoa taarifa ya kile alichokiona na kukisikia, watu badala wajadili hoja wanajadili mleta mada....poor you vijana wa kinondoni manyanya
 
huyo jamaa naona ni bonge la janga, wanaume wanapiga mzigo masaa 24 yeye analia, makamanda wanavyosema hakuna kulala hadi kieleweke anadhani ni nadharia, watu wazima wapo kazini, viva makamanda
 
Wanajadili nini wakati lwakatare mwenyewe amesema wazi kuwa ile video ni ya kwake
 
Kwahakika kwa mfululizo wa matukio ndani ya Chadema, things are falling apart! Jana wamekaa kikao mpaka saa nane na nusu usiku bila kufikia muafaka wanakitoaje Chama kwenye sakata la Rwakatare. Hakika things are falling apart!
Kageuka, nakushauri bora ugeuke!.

"When the goings get tough, the tough gets going!" ukiona mateso yanazidi, ujue ukombozi unakaribia!.
Na huu sasa ndio utakuwa msisitizo wangu kuwa ili kufanikiwa, "ime needs, not only, "do the right things", but also "'got to do things right!".

Sisi wengine Chadema tuliiambia tangu day one kuhusu what is the right thing!, all and all "better late than never"

Wish you all the best to Chadema!, not only keep your house in order, but "safe!"

Pasco.
 
Mkuu nataka unijulishe mhucka mmoja kwa hyo kitabu kama title ya topic yako,then mwandishi wake nani? Nchi gani anatoka,then nambie hyo CDM kwann wanaandamwa na serikali ya akina Nepi?
 
kageuka if i may ask issue hapo nini kikao kwenda mpaka saa nane au matokeo ya kikao?mnatumia nguvu nyingi kama mateka wa ccm kukimbizana na cdm,elekezeni hizo propaganda zenu kwenye kutatua kero mitaani.
Na kuwaacha nyie muendelee kupanga mipango ya kigaid? Suala la lwakatare halitawaacha salama lazima muangaike sana.
 
Mtu ametoa taarifa ya kile alichokiona na kukisikia, watu badala wajadili hoja wanajadili mleta mada....poor you vijana wa kinondoni manyanya

ameyaona wapi wakati wahusika wamesha yakana hapahapa. Hili ndo tatizo la kutokufuatilia nani ni nani jf. aliye anzisha huu uzi ni mwanaccm na mkeleketwa wa ccm na aliye kanusha ni kiongozi wa kitaifa wa chadema, sasa nani wa kumsikiliza ukizingatia ccm ni mbaya wa chadema?. mia
 
Suala litakujakuwa tata mbeleni huko ikithibitishwa ni mkakati wa chama,sijui mtajificha wp?
 
mkuu hiki kitabu cha 'things fall apart'' uliwahi kukisoma au?
ninyi movement for cash huwa hamna hoja bali porojo tu na matusi,nina wasi wasi wengi wenu mnavuta majani au mnabwia unga maana mtu mwenye akili timilivu hawezi kamwe kuwa cdm maana ninyi mnashabikia na kujihusisha na mambo msiyoyajua,poleni sana,anguko lenu lipo mlangaoni.
 
Back
Top Bottom