Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,169
- 48,451
Nimeshakataa kutumia dhana za wanaosema Kuna Mungu. Kama hakuna Mungu Jenga dhana yako ni kwa nini hakuna Mungu.Kama hakuna wanaosema Mungu yupo ,hakuna mjadala kama wapo wathibitishe madai yao.
Umejuaje kama hakipo? Kwa nini unasema hakuna Mungu?Sasa mtu atathibitishaje kua hiki kitu hakipo wakati kwake ni hakipo, yaan athibitishe HAMNA
au sijaelewa?
Kwa nini?Mkuu ungefuta uzi
It's simple, kwa kua hajamuona, hajamsikia, hajamuhisiUmejuaje kama hakipo? Kwa nini unasema hakuna Mungu?
Mzigo wa uthibitisho unamwangukia mdai wa hoja .Nimeshakataa kutumia dhana za wanaosema Kuna Mungu. Kama hakuna Mungu Jenga dhana yako ni kwa nini hakuna Mungu.
Kwani wanaosema kuna mungu wanasema hivyo kwa kuwa kuna wanaosema hakuna Mungu?
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
Kwanza inabidi utambue kwamba, Falsafa ya uthibitisho inamtaka mtu aliyeanza kudai kitu kipo, ndio ana mzigo wa kutoa uthibitisho wake.
Ndio maana ukimtuhumu mtu fulani kwa wizi, Wewe mwenye madai ya kwamba mtu huyo ni mwizi, ndio una mzigo wa kuthibitisha.
Madai ya kwamba "Mungu yupo" ni ya kwenu nyie Theists. Sio ya kwetu sisi Atheists. Ninyi Theists ndio mna mzigo wa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu. Kwa sababu madai ni yenu.
Madai ya kwamba Mungu yupo, yalianzia kwenu nyie waamini Mungu(Theists). Ninyi ndio mlianza kudai kuna Mungu. Hivyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya kwamba Mungu yupo.
Ukishindwa kuthibitisha Mungu yupo. Ina maana kwamba madai yako ni ya UONGO. Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim. It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.
Burden of proof (philosophy) - Wikipedia Burden of proof (philosophy) - Wikipedia.
Wewe jamaa na akili mnemba zako unaharibu madaKukosa ushahidi wa kitu si ushahidi wa kutokuwepo kwake.
Kusema “Mungu hayupo kwa sababu hujathibitishwa” ni kosa la mantiki.
Uislamu haumwelezi Mungu kama kitu cha kimaabara kinachopimwa. Kumtaka Mungu athibitishwe kwa vifaa vya kisayansi ni kosa la kategoria. Tunathibitisha athari kwa sababu, si kiini kwa macho.
Kila kilichoanza kuwepo kina sababu
Ulimwengu ulianza kuwepo
Hivyo una sababu isiyoanza kuwepo (Muumbaji)
Kusema ulimwengu “ulijitokeza tu” bila sababu kunakiuka kanuni ile ile ya burden of proof.
Kwa hiyo, atheism si msimamo wa neutral, bali ni dai jingine la kimetafizikia linalohitaji hoja.
Uislamu hautaki “imani pofu”, bali unatoa hoja za kiakili na kimantiki.
Negative Proofs: It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.Nimeshakataa kutumia dhana za wanaosema Kuna Mungu. Kama hakuna Mungu Jenga dhana yako ni kwa nini hakuna Mungu.
Kwani wanaosema kuna mungu wanasema hivyo kwa kuwa kuna wanaosema hakuna Mungu?
Uniambie ninaharibu wapi please na huo mnemba wako??Wewe jamaa na akili mnemba zako unaharibu mada