Hii ya sasa ipo hot sana!, kila upande umedevelop kiasi cha kutoogopa yajayo!.. Kama Malcom Lumumba alivyowahi sema yanayotokea leo ni kama yaliyosababisha WWI.. Mataifa yalijiamini sana, toka makubwa hadi madogo!
Vladmir Putin anapotuma ujumbe kwa Mataifa yote kuuelewa!.
View attachment 728839
"They did not listen to us then!.. Listen now"...
Angalia na jibu la mmoja wa commentator wa Washington Post [emoji116][emoji116]
Cc: Malcom Lumumba izzo zitto junior hearly Elungata baba swalehe Maalim Shewedy ze kokuyo Nalendwa
Nimecheki mkuu.Mimi mwenyewe mpaka nikitembelea nyuzi ndio hupata notification!.
Lakini umeona mambo ya Putin hayo kupitia RT!!..
Feature za Kinzhal nimezipenda sana!!...Lakini kwa vile NATO inatumika bila kushtuka acha tushuhudie vita itakayokuja tokea itakuaje!!..Mpaka sasa Urusi iko vitani hata kama hawatakubali lakini wanapigana.
Wakicheka tu basi watapoteza nchi yao..Yaani ni kufa na kupona..!
Balaa sana...Feature za Kinzhal nimezipenda sana!!...Lakini kwa vile NATO inatumika bila kushtuka acha tushuhudie vita itakayokuja tokea itakuaje!!..
Alishafanya Jaribio la kwanza mwaka 2015 kama sikosei...!Kuna kipindi nilisoma hata China nae anafanya research ya hizi Hypersonic Glider Missiles!..
Hii ya sasa ipo hot sana!, kila upande umedevelop kiasi cha kutoogopa yajayo!.. Kama Malcom Lumumba alivyowahi sema yanayotokea leo ni kama yaliyosababisha WWI.. Mataifa yalijiamini sana, toka makubwa hadi madogo!
Nakumbuka Reagan alivyoahidi Strategic Defence Initiative (Star Wars) warusi walilamika sana.Nimefatilia naona USA project yao ya FALCON waliicancel baada ya kushindwa secure budget!..Ina maana so far hana hii technology!