They call it Africa, We call it home.

They call it Africa, We call it home.

Yes,even in the midst of "War",there are few seconds to enjoy and be happy.
 
Utoto raha, nakumbuka mimi ndio alikua designer wao
 
Aiseee utoto raha maana nimeungua sana kwa moto kisa kujipikilisha
 
Ukiwa mtoto hata huwazi ela inatafutwaje, mda wote una furaha tuu.
Ngoja ukue sasa, weeeeeee. Utatamani uwe mtoto tena wa Kunyonya.
 
I can assure you, hawa watoto wana furaha, upendo na amani miongoni mwao kuliko baadhi ya watu wenye maisha mazuri na.magari ya kifahari, vyakula vizuri na nyumba nzuri.

Beautiful things in life are always cheap.
 
Back
Top Bottom