These is too much sasa.

"These is too much" Hiyo English tu imenifanya nisisome chochote.Hivi ni lazima kutumia kiingereza?
 
We lengo lako hasa aachiwe uhuru ili ule bikra? Acha umbulula mzee mademu wa kisukuma walivyojaa hapo Geita watoto wameumbika kwa miili mpaka adabu zao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kinachonifurahisha ni maneno ya kiingereza

Nacheka na kingereza changu tu

"Gurds"
"Canceling"
 
Waharibifu hawaishi dunia hii, zaa wako umpangie namna utakayo kwenye kumlinda!
 
Unapo hangaisha akili juu ya binti wa namna hiyo

Je unauwezo wa kummiliki zaidi ya kama avotunzwa hapo kwao?

Au ndo mwendo wa kulialia baadae.
 
Maombi yote hayo ni ili wewe mchafuzi upate fursa. Kwa kujiangalia, huoni mantiki ya kinachofanywa na wazazi wa huyo binti?
Mungu akujaalie baadae upate binti halafu umwache awe fursa kwa watoto wa wakati huo kama unavyotaka kwa binti wa watu.
 
My take kwa uzoefu wangu Kuna vibinti vingi Sana huwa ukikutana navyo awali kabla hamja duu huwa vinasema kuwa Ni bikira ila ukienda navyo kwenye mtanange sasa lazima upigwe na mshangao sijui huwa Wana akili gani !?
 
Nitaisoma nikimaliza kunywa Serengeti lager maana naona neno "gal" "gal"
 
It's bittersweet stay much ga'dem it..☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…