Kabisa, yaani hadi unajiuliza sisi tulimkosea nini Mungu hadi kuwa tulivyo. Lakini mabadiliko yanapaswa kuanza na mimi.Wapo serious na mipango yao.
Kabisa, yaani hadi unajiuliza sisi tulimkosea nini Mungu hadi kuwa tulivyo. Lakini mabadiliko yanapaswa kuanza na mimi.
Sio viongozi tu, lakini hata baadhi ya raia. Hebu fikiria inaingia akilini mtu kusifia VP kuongea kiingereza kizuri kule Uingereza. Hicho kiingereza chake kina impact ipi kwa uchumi wa nchi yetu? Eeeh mwenyezi Mungu, nisaidie nifikie malengo yangu katika nchi hii.We have selfish leaders. Those without big brains to think outside the box.
Hatuna viongozi wenye visions wala missions.
Viongozi waliopo ni average thinkers.
Sio viongozi tu, lakini hata baadhi ya raia. Hebu fikiria inaingia akilini mtu kusifia VP kuongea kiingereza kizuri kule Uingereza. Hicho kiingereza chake kina impact ipi kwa uchumi wa nchi yetu? Eeeh mwenyezi Mungu, nisaidie nifikie malengo yangu katika nchi hii.