kupenda na kuchukia ni pande mbili za shilingi...ukimtenda mema shilingi itadondokea kwenye upendo. ukimtenda mabaya shilingi itadondokea kwenye chuki.
tafsiri ya lipi baya au zuri inatengenezwa na mtu mwenyewe.
Hairuhusiwi kicheka kumbe!!!My bad!!!!!Cheka tu Maneeenah.
I miss you, umerudi?
Lakini kama mkiachana vizuri bila kuumizana na kufanyiana visa mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri na kupendana mpaka kaburini.., kwahio cha maana ni kuhakikisha unapomuacha au kumchoka mtu anayekupenda usimfanyie visa, sababu you turn a friend/lover into an enemy
wewe ishakukuta?
kinyume cha mapenzi ya kweli ni chuki ya kweli
hasa mkitendana
kinyume cha mapenzi ya kweli ni chuki ya kweli
hasa mkitendana
This phrase doesn't exist myd
Ujue mna uselfish mwingi sana kwenye mapenzi
Na huo uselfish hua unamsumbua kila mtu ndo maana hauko tayari kumshare mpenzi wako na mtu mwingine kwa namna yoyote ile
Iweje umwache uende kwa mwingine halafu uhisi hatoumia?unaweza usiumie wewe mwachaji labda kwa vile kunakua na substitute standby ila mwachwaji ni lazima aumie tu no matter how smoothly you dumped him/her
Na huko kuendelea kuwa friends haimaanishi kua hakuumia rather ni mwepesi wa kuaccept
Wewe ukicheka its either you are teasing me or doing something very evil behind the keyboard.:tape::tape:
Hurry Back.
You would bully my ass into oblivion if I were weak.
Muone kwanza.
Roger that ma.
Ndo naanza kujifunza.
In all my relationships hapakuwa beef. After the tears dried up (on the part of the boys) we remained friends.
Sasa hizi bifu, visasi, matusi kejeli naona ni immaturity that I am too old for.
So so immature. Real men don't diss. They accept the situation and move on.
Au sio?
nakataaaaa