Sababu Feelings za Kupenda ni sawasawa na kuchukia.., ni rahisi sana kumbadilisha mtu anayekupenda au kukuchukia kuhamia kwenye kukupenda au kukuchukia kuliko mtu ambaye hana feelings kabisa na wewe.
Sasa huyu mtu anayekupenda ukimdissapoint au kumuumiza ni kwamba zile feelings bado zinakuwepo kwahio zinabadilisha muelekeo tu, zikichangayika na disappointments pamoja na wivu.
Lakini kama mkiachana vizuri bila kuumizana na kufanyiana visa mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri na kupendana mpaka kaburini.., kwahio cha maana ni kuhakikisha unapomuacha au kumchoka mtu anayekupenda usimfanyie visa, sababu you turn a friend/lover into an enemy