Hao wengine baada ya Mchonga wanaipanua na kuikarabati tu mkuu ila Mchonga ndio alijenga. Hilo la kwanza lakini la pili ni kuwa hii barabara imeshikilia uti wa mgongo wa mawasiliano na mikoa mingine mkuu kutoka Dar, hakuna namna ni kuiweka vizuri tu

Nikweli, lakini lazima kuwe na Alternative road kubwa kama hiyo, ikatokea maafa na daraja la Ruvu na mengine nyuma ya Ruvu yakavunjika itakuwaje? Kunaumuhimu wa kuwa na barabara kubwa 3 kama hizo za kutoka na kuingia Dar.
Hilo ndo tatizo la short term plan kungelikua na long term plan za ujenzi wakati wanajenga barabara za mwendo kasi,wangejenga na ubungo interchange sasa walikurupuka leo tena wanarudi kujenga interchange ,wakimaliza ndo utasikia wanaanza ujenzi wa barabara 8 hilo eneo wanalobomoa mbezi hivi sasa na kimara