Mkuu umeongea sahihi sana.I wish kila mwenye kuomba ushauri wa changamoto ya mahusiano apitie uzi huu.Msisitizo 'There is no template for relationship'.
Then nifanye mpango wa kutafuta dawa ya kuondoa hisia za kimapenzi. Nibakize hamu za kugegeda ila sio ile kuzama kwenye mapenzi niwe kama beberu, huwa halifumanii wala halina ndoa