There is no military solution to a political problem

Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
298
478
Nimeupenda ujumbe alioutoa mkuu wa majeshi wa Gambia Ousman Badjie nanukuu kisehemu ...

"Why should we fight?", he added.

"This is a political misunderstanding. There is no military solution to a political problem, let me tell you. We are not fools. I love my soldiers. I love the Gambian people. Nobody is going to be hurt here"....

Nini maoni yako kwa viongozi wa majeshi mbalimbali nchi za Afrika kujiingiza kwenye siasa, kuwalinda watawala, kuwaweka vizuizini wapinzani, kuwafungulia kesi na wakati mwingine kuwaua wakiwemo raia wasio na hatia
 
Huyo mkuu wa majeshi alituma kikosi chake kwenye tume ya uchaguzi na wa kuwafukuza wafanyakazi wote na wanajeshi ndio waliokuwa kwenye tume.

Kisha akasambaza wana usalama mitaani.

Na tarehe 14 december alivaa combat ya jeshi na akaweka picha ya jammeh kabisa mbele na kusema atamsapoti Jammeh mpaka dakika ya mwisho.

Lakini vikosi vya senegal,Nigeria vilipo ingia Gambia ndio anajifanya kuachia msimamo wake na hataki kupigana baada ya kuwa out numbered.

Na taarifa za ndani zinasema huyo Badjie alikasirika sana mara baada ya ecowas kuingiza jeshi ndani ya Gambia.

Jammeh kiburi mpaka dakika ya mwisho alikuwa anaipata wapi unavyodhania,,huyo baada ya kuona ecowas wameingia mzigoni ndio eti anawapenda wanajeshi wake na haingilii masuala ya kisiasa mbona aliingia kwenye tume ya uchaguzi.

Bila ya Ecowas huyo mkuu wa jeshi na jammeh wangeendelea kufanya yao.

Maneno mazuri lakini yametoka kwenye kinywa kichafu.
 
Nashangaa nionapo jeshi la polisi au jeshi la Combat kuingilia mambo ya siasa. Wakati wao kazi yao kulinda amani na mipaka ya nchi na kuacha siasa kwa vyama vya siasa.

Ndukiiiii
 
Huyo mkuu wa majeshi alituma kikosi chake kwenye tume ya uchaguzi na wa kuwafukuza wafanyakazi wote na wanajeshi ndio waliokuwa kwenye tume.

Kisha akasambaza wana usalama mitaani.

Na tarehe 14 december alivaa combat ya jeshi na akaweka picha ya jammeh kabisa mbele na kusema atamsapoti Jammeh mpaka dakika ya mwisho.

Lakini vikosi vya senegal,Nigeria vilipo ingia Gambia ndio anajifanya kuachia msimamo wake na hataki kupigana baada ya kuwa out numbered.

Na taarifa za ndani zinasema huyo Badjie alikasirika sana mara baada ya ecowas kuingiza jeshi ndani ya Gambia.

Jammeh kiburi mpaka dakika ya mwisho alikuwa anaipata wapi unavyodhania,,huyo baada ya kuona ecowas wameingia mzigoni ndio eti anawapenda wanajeshi wake na haingilii masuala ya kisiasa mbona aliingia kwenye tume ya uchaguzi.

Bila ya Ecowas huyo mkuu wa jeshi na jammeh wangeendelea kufanya yao.

Maneno mazuri lakini yametoka kwenye kinywa kichafu.
Jamaa sikumfatilia awali kumbe dunia bila unafiki haiendi
 
Huyo alikuwa anapima mziki tu, ECOWAS isingeunga mkono kuingia kijeshi Gambia Jammeh asingeufyata na huyo CDF asingesema hayo, huyo na Jammeh ni washirika na kauli yake hiyo huenda walikubaliana na Jammeh kwamba mambo yakiharibika basi ajifanye kama hajubaliani na Jammeh ili tu vikosi vya Senegal visiingie kumng'oa Jammeh.
 
Huyo mkuu wa majeshi alituma kikosi chake kwenye tume ya uchaguzi na wa kuwafukuza wafanyakazi wote na wanajeshi ndio waliokuwa kwenye tume.

Kisha akasambaza wana usalama mitaani.

Na tarehe 14 december alivaa combat ya jeshi na akaweka picha ya jammeh kabisa mbele na kusema atamsapoti Jammeh mpaka dakika ya mwisho.

Lakini vikosi vya senegal,Nigeria vilipo ingia Gambia ndio anajifanya kuachia msimamo wake na hataki kupigana baada ya kuwa out numbered.

Na taarifa za ndani zinasema huyo Badjie alikasirika sana mara baada ya ecowas kuingiza jeshi ndani ya Gambia.

Jammeh kiburi mpaka dakika ya mwisho alikuwa anaipata wapi unavyodhania,,huyo baada ya kuona ecowas wameingia mzigoni ndio eti anawapenda wanajeshi wake na haingilii masuala ya kisiasa mbona aliingia kwenye tume ya uchaguzi.

Bila ya Ecowas huyo mkuu wa jeshi na jammeh wangeendelea kufanya yao.

Maneno mazuri lakini yametoka kwenye kinywa kichafu.
Hadithi ya sungura "sizitaki mbichi hizi".
 
Anyhow. ..ameamua kuto kumwaga damu. ..kwani ni nchi ngapi ambazo zinajua wazi kabisa kwamba hazitashinda na bado wanapiga na? KWELI MAMA AFRICA AMEAMKA. ...KUMEKUCHA AFRICA. ..
 
Huyo mkuu wa majeshi alituma kikosi chake kwenye tume ya uchaguzi na wa kuwafukuza wafanyakazi wote na wanajeshi ndio waliokuwa kwenye tume.

Kisha akasambaza wana usalama mitaani.

Na tarehe 14 december alivaa combat ya jeshi na akaweka picha ya jammeh kabisa mbele na kusema atamsapoti Jammeh mpaka dakika ya mwisho.

Lakini vikosi vya senegal,Nigeria vilipo ingia Gambia ndio anajifanya kuachia msimamo wake na hataki kupigana baada ya kuwa out numbered.

Na taarifa za ndani zinasema huyo Badjie alikasirika sana mara baada ya ecowas kuingiza jeshi ndani ya Gambia.

Jammeh kiburi mpaka dakika ya mwisho alikuwa anaipata wapi unavyodhania,,huyo baada ya kuona ecowas wameingia mzigoni ndio eti anawapenda wanajeshi wake na haingilii masuala ya kisiasa mbona aliingia kwenye tume ya uchaguzi.

Bila ya Ecowas huyo mkuu wa jeshi na jammeh wangeendelea kufanya yao.

Maneno mazuri lakini yametoka kwenye kinywa kichafu.

Mkuu wa majeshi ya Gambia mbona tumesoma mara kibao akiwa tofauti na Jammeh, alipoamua kung'ang'ania baada ya kuwa ame concede defeat?
 
Huyo mkuu wa majeshi alituma kikosi chake kwenye tume ya uchaguzi na wa kuwafukuza wafanyakazi wote na wanajeshi ndio waliokuwa kwenye tume.

Kisha akasambaza wana usalama mitaani.

Na tarehe 14 december alivaa combat ya jeshi na akaweka picha ya jammeh kabisa mbele na kusema atamsapoti Jammeh mpaka dakika ya mwisho.

Lakini vikosi vya senegal,Nigeria vilipo ingia Gambia ndio anajifanya kuachia msimamo wake na hataki kupigana baada ya kuwa out numbered.

Na taarifa za ndani zinasema huyo Badjie alikasirika sana mara baada ya ecowas kuingiza jeshi ndani ya Gambia.

Jammeh kiburi mpaka dakika ya mwisho alikuwa anaipata wapi unavyodhania,,huyo baada ya kuona ecowas wameingia mzigoni ndio eti anawapenda wanajeshi wake na haingilii masuala ya kisiasa mbona aliingia kwenye tume ya uchaguzi.

Bila ya Ecowas huyo mkuu wa jeshi na jammeh wangeendelea kufanya yao.

Maneno mazuri lakini yametoka kwenye kinywa kichafu.
Watu hawana kumbukumbu. Huyu jamaa alim-support mshindi baada ya rais kukubali kushindwa.

Lakini rais alipokaa matokeo, akatoa barua ya kukubali kuwa rais.

Gambia army chief reverses pledge and stands by embattled president Jammeh

Mara baada ya kuona majeshi ya nje yanakuja, amekuwa neutral
 
Back
Top Bottom