there is a president in Uganda

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Nimefurahi sana na nimefarijika sana,baada ya kusikia kutoka BBC,kuhusu msimamo wa waganda jinsi walivyo bega kwa bega na raisi wao kupinga uvunjifu wa maadili,kwa kushinikizwa na nchi za magharibi kuruhusu sheria za ushoga,kwa kigezo eti ni haki za binadamu.Hawa jamaa kwa kweli wanatuchukulia waafrika kama maroboti tu kwa kutushinikiza kumuasi Mungu,kisa umasikini wetu,hongera sana raisi museven,hongera sana waganda wote kwa kijitambua,hii iwe changamoto kwa nchi zingine za Afrika hususan ni Tanzania ambapo wazungu wanaonekana kama miungu watu!waafrika tukiacha akili na fikra tegemezi,tutafanya mambo makubwa tu,”to hell homosexuals”
 
Back
Top Bottom