thedealer,one day yes!

Wahenga walisema "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu",vuta subira muda si muda utatimiziwa haja ya roho yako.

Nashukuru sana kiongozi Bishanga kwa kunipa moyo maana kila nikirusha hola! TheDealer, one yes! narusha kwanza kwa Arabela!
Arabela my bebi popote pale ulipo moyo wangu umekudondokea! plz nione huruma!

cc: kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
We TheDealer ile theory bado hujalimudu unaanza kupractice mapema hivi,,, kila la heri mwaya nsikukatishe tamaa!

Theory ipi tena Paloma, nikumbushe mwaya huenda ndio maana nabugi kila mara meeen! au ile session ya kujiamini!
 
Last edited by a moderator:
hela zinakuwasha nini maana zikifika tarehe kama hizi wewe kiguu na njia upokeapo salary slip yako
Wahenga walisema "mgaa gaa na upwa hali wali mkavu",vuta subira muda si muda utatimiziwa haja ya roho yako.
 
kweli sijui! mapenzi yana safari ndefu angalau hiki nakijua!

sasa mi huwa sina cha kuogopa kaka..wewe mvagae Arabela ana malove ya ukweli..

kuna jamaa anaitwa zubedayo, alipigwa chini..
sasa endapo utakubaliwa lazma uwe mpole na usiwe na kuhangaika kwingi,..
 
Last edited by a moderator:
sasa mi huwa sina cha kuogopa kaka..wewe mvagae Arabela ana malove ya ukweli..

kuna jamaa anaitwa zubedayo, alipigwa chini..
sasa endapo utakubaliwa lazma uwe mpole na usiwe na kuhangaika kwingi,..

========================================================================================
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…